Header Ads Widget

Amber Rose asema hakumbuki tena wanaume wangapi amelala nao.kwakuwa ni wengi sana

Ex wa rapa Wiz Khalifa amefunguka kuwa hana kumbukumbu kwa sasa wanaume wangapi amewahi kufanya nao ngono.
Amber Rose amesema haya kwenye kipindi chake cha Tv cha The Amber Rose Show akisema “Nina miaka 32 na nimekuwa na mahusiani na watu tofauti na siwezi kuwahesabu, ila zamani niliweza sana kukumbuka”
Amber ana mtoto wa miaka mitatu na rapa Wiz Khalifa, mtoto huyu anaitwa Sebastian, 3, na Amber aliwahi kuwa na mahusiano na Kanye West.

Post a Comment

0 Comments