Leo nimezunguka katika majimbo ya Mbeya Vijijini ,Vwawa na Tunduma
nikiwaeleza kuhusu Operation UKUTA,
UKUTA si fujo , UKUTA si machafuko na hatuna haja ya kufanya fujo ,
tunapiga kelele dhidi ya uvunjwaji wa haki ya kidemokrasia na katiba ya
nchi unaofanywa na utawala huu wa awamu ya tano .
CHADEMA ni nani wakapambane na polisi ,polisi ambao ni watoto wetu
,ndugu zetu na hata wake na waume..
0 Comments
on