
Baada ya account yake kudukuliwa na watu wasiojulikana,msanii Linah Sanga amefanikiwa kuirudisha account yake hiyo yenye followers zaidi ya milion moja.
Baada ya kuirudisha account hiyo Linah alipost picha kwenye account yake hiyo ambayo ni@OfficialLinah na kuandika..
“Thanks Lord my Account is back ???? poleni mashabiki kwa kunimiss???? tupo pamoja. SHUKRANI zangu ziwaendee #TCRA #JESHILAPOLICE @jubilantofficial @official_kolonzo @kapitatechnology @alexmasiga @risgrin @nguzo_jr @director_ghost @dropouts_ent bila kumsahau my big DADY @babutale ????”
0 Comments
on