Iwapo mgombea huyo wa chama cha Republican akishinda, mastaa kama Jon Stewart, Cher, Barbra Streisand, Samuel L. Jackson, Chelsea Handler na Lena Dunham wamesema watahamia Canada au nchi zingine duniani, lakini sio kuwa chini ya uongozi wa bilionea huyo mwenye mdomo mchafu.
“If he were elected, I’m moving to Jupiter,” aliandika muimbaji mkongwe, Cher.
Kwa upande wake muigizaji mkongwe, Jackson alisema, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”
Hata hivyo wapo mastaa ambao awali waliwahi kutoa ahadi kaka hizo wakazivunja pindi George W. Bush alipoingia White House mwaka 2000.

0 Comments
on