Header Ads Widget

Video Mpya : Brown Mauzo Ft. Alikiba – Nitulize

Msanii kutoka nchini Kenya ajulikanae kama Brown Mauzo ameachia video mpya wimbo unaitwa “Nitulize”, amemshirikisha King kutoka Tanzania Alikiba. Video imefanyika South Africa imeongozwa na Nicorux.