Mashabiki wa Wema Sepetu wametokwa na povu baada ya malkia wa muziki Linah Sanga kupost kipande kidogo cha video kinachomwonesha akiwa na Idris Sultan kitandani.

Bila shaka ni maandalizi ya kazi mpya ya malkia huyo wa muziki, lakini mashabiki wa Wema Sepetu wameonesha kuumizwa na hali hiyo kwa kuwa Idris Sultan alikuwa anatoka kimapenzi na Wema Sepetu kipindi cha nyuma licha ya wawili hao kuachana miezi michache iliyopita.

Muimbaji huyo aliwahi kuingia kwenye mgogoro kipindi cha nyuma na Wema Sepetu baada ya kumtuhumu malkia huyo wa filamu kwamba alikuwa anatoka kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake ‘Naga’.

Wengi kati ya mashabiki hao wanamponda Idris pamoja na Linah. Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao kupitia mitandao ya kijamii. 
happynesslamecky

Haka kambwa mwitu kamenikeraaaaa hukuona wanaume wote mpaka umemchukua shemeji yetu kaone nasura imekomaa kama mzizi wa bangi alafu ulivyokazana kumpost idrisa yy hajakuweka Hat a picha ya kuzugia hujiongezi n.a. ulivyokambilikimu sasa.

pery_richie
Nimekupenda Linah pamoja na unyak nyak hivyo hivyo mama!!!!! Inasemekana et wema she deserve a man not a boy lyk idris bt not sure
 
julietyo

Linah please keep this boy forever,I never liked him for Wema, Wema deserves a man not a boy like @idrissultan its good riddance thanks Linah kwa kuchukua huyu mtu

pery_richie

Kunakipind wema aliiba kaboy ka linah yaan linah alimute nw ni mda wa wema kumute,,,,,, raha jipe mwenyew wema nawe mnyakue hata baraka au rayvanny
 
njikaro

Kama ni kweli mnajidhalilisha sana hawa wanaume wanawaona kama samaki nanyi mnakubali tu kupitiwapitiwa hovyo halafu hamnaga kinyaa nyie ebu fanyeni kiheshimiana mtafanyaje kazi kwa mtindo huu jamani duh ninavyokupenda linah naomba isiwe kweli

cnyorita_mamyto
Malav dav aya bhana kwa raha zenu atujui kusoma ata picha tusione ahahaha bhas sawa nimewapenda bure

Shakiralasway

Kila mtu anamaamuzi yake,inamaana bwana akishammega wema hawezi kuwa na marafiki wakike au akiachana nae watu wengine wacongee nae wanatukanwa,ila naona now linah ameshajua ugonjwa wa hapa town watu wanataka stress zao wagawane na wenzao,yy kaishafanyiwa mangapi?kujiona wamana nae anakiboko yake,chefuu,linah hiyo imekaa poa

pery_richie
Jaman nataka iwe kwel,,, duu linah fanya kwel isiwe nyimbo mpya nitacheka milele