Header Ads Widget

PICHA/VIDEO | MJENGO WA ALIKIBA NI ZAIDI YA MJENGO WA DIAMOND PLATNUMZ ALIKIBA AWEKWA HADHARANI, HATARI TUPU

Alikiba hajawahi kusema kuwa yupo kwenye ujenzi wa ile inayoweza kuwa nyumba ya kifahari zaidi inayomilikiwa na msanii wa Bongo.



Na sasa nyumba yake yenye ghorofa mbili imewekwa hadharani.
d6a90596-5578-4066-8a6b-c49a3f06d050
Ipo maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam. Picha na video za nyumba hiyo zimewekwa kwenye ukurasa mmoja wa Instagram wa shabiki wake mkubwa.
e7960aec-4678-449b-a01d-d1c41baa0726
Alikiba bado hajahamia kwenye nyumba hiyo na mafundi wanamalizia décor.
128a9e9b-22ce-40ec-a864-490dc8e070e3
Haijajulikana mara moja gharama ya nyumba hiyo lakini shabiki wake anadai kuwa jiko pekee limegharimu takriban shilingi milioni 19.
2b15517d-43c6-490f-b7c5-32ca20672aa9

Post a Comment

0 Comments