Lil Wayne amekuwa kwenye kiti moto baada ya kauli yake kuwa hahusiki na wala haitambui kampeni ya Black Lives Matter wakati wa mahojiano kwenye kipindi cha Nightline cha ABC.
LIL WAYNE AOMBA RADHI KWA KAULI YAKE KUWA HAITAMBUI KAMPENI YA ‘BLACK LIVES MATTER’
Na sasa rapper huyo ameomba radhi kwa kauli hiyo. Kwenye maelezo yake kupitia TMZ, Lil Wayne amesema:When the reporter began asking me questions about my daughter being labeled a bitch and a hoe, I got agitated. From there, there was no thought put into her questions and my responses.”
Alipoulizwa kuhusu kampeni hiyo. Wayne alisema: I don’t feel connected to a damn thing that ain’t got nothin’ to do with me. I’m a young black rich motherf—er. If that don’t let you know that America understand black f—in’ lives matter these days, I don’t know what it is.”
Kauli yake imesababisha hasira kwa Wamarekani wengine weusi.
0 Comments
on