Mchezaji Justin Zulu wa klabu ya Zesco United ya Zambia, tayari ametua Tanzania kwaajili ya kufanya mazungumzo na klabu ya Yanga.

Hii itakuwa ni mipango ya kocha George Lwandamina ambaye tayari ameanza majukumu ya kuifundisha Yanga ambapo alianza kusimamia mazoezi siku ya Jumatatu Novemba 28, akiwa kocha mkuu mpya aliyechukua nafasi ya Hans van Pluijm.

Jiunge na djadam64.com sasa