Header Ads Widget

Video: Raymond na Dj Maphorisa waingia studio kurekodi wimbo pamoja

Raymond na ameingia studio kurekodi wimbo na hitmaker wa Soweto Baby, Dj Maphorisa wa Afrika Kusini.
Ray Vanny amepost video kwenye Instagram akiwa studio na producer huyo wa kundi la Uhuru wakielezea collabo hiyo.
ray-1
ray-2
Naye bosi wake, Diamond ameandika kwenye Instagram: @djmaphorisa & @rayvanny about tu Burst your Speakers ðŸ”¥ðŸ”« !!!!! #WcbWasafi for Life!
Maphorisa si mgeni katika kufanya kazi na wasanii wa Bongo. Ameshafanya kazi na Diamond, Chege, Madee, Vanessa Mdee na wengine.

Post a Comment

0 Comments