Header Ads Widget

VIDEO: Watoto wa Mbunge Lema walivyoshuhudia Baba yao akirudishwa rumande

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lemaamekosa tena dhamana leo

December 2 2016 na kurudishwa rumande kwenye kesi inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi kwa viongozi wa nchi akiwemo Rais.
Miongoni mwa waliokuwepo Mahakamani ni familia yake Mke na Watoto ambao walimpungia wakati akiondoka Mahakamani hapo, unaweza kutazama hii video fupi hapa chini…

Post a Comment

0 Comments