zimempata kwenye Exclusive na kusema kwanini kwenye album nzima ya God Over Everthing hakuna msanii hata mmoja wa Afrika Mashariki aliyemshirikisha.

‘Ni album ambayo nimewashirikisha watu kama Wizkid, Olamide na wengine kutoka Nigeria, sijawashirikisha wa Afrika Mashariki na pande nyingine sababu ni album yangu ya kwanza, nilitaka iwe album ambayo nitatangaza Nigeria kwanza lakini album ijayo nitawashirikisha wa Afrika Mashariki na wengine hakuna neno’ – Patoranking