kadhaa zilizopita ziliripotiwa taarifa za
kutengenezwa kwa basi la umeme lenye uwezo wa
kupita juu ya magari mengine huko
China. Kutokana na China kuwa nchi yenye watu
wengi zaidi Duniani, hivyo basi hilo linatajwa kuwa
ufumbuzi sahihi wa msongamano wa magari
barabarani, imeelezwa kuwa basi hilo tayari
limevutia serikali za Brazil, Ufaransa , India na
Indonesia.
Hii ndio mara ya kwanza kwa wabunifu hao
kuonesha basi hilo hadharani baada ya video yake
kuvuja katika mitandao mwezi May, wiki hii basi
hilo limefanyiwa majaribio kwenye eneo la
kaskazini mwa China jimbo la Hebei katika
barabara iliyofanyiwa ukarabati yenye urefu wa mita
300, basi hilo lina uwezo wa kuhudumu kwa kasi
ya kilometa 60 kwa saa na litakuwa na uwezo wa
kubeba watu 1200 kwa wakati mmoja.
Unaweza kuangalia video hii hapa chini

0 Comments
on