Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)
limetangaza kuwa vyuo 5 vimefungwa kuendesha
mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya
ufundi nchini.
Pia Baraza limetangaza kuwa vyuo 41
vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa
kwa mujibu wa sheria vimepewa muda wa
wiki mbili na kutakiwa vijisajili mara moja
kwenye Baraza hilo kabla ya kuchukuliwa
hatua kali za kisheria.
Vilevile, vibali vya usajili wa vyuo 112 vya
kutoa elimu ya ufundi vimefikia ukomo
hivyo vinapaswa kutekeleza masharti ya
Usajili; wakati vyuo 57 vimefikia ukomo
wa ithibati, hivyo inapaswa kutekeleza
masharti ya ithibati, imetangazwa jana.
Akiongea katika mkutano na waandishi wa
habari, Mwenyekiti wa Baraza (NACTE),
Mhandisi Steven Mlote, amesema Baraza
limetoa muda wa mwezi mmoja kwa vyuo
112 kutekeleza masharti ya usajili na vyuo
52 kutekeleza masharti ya ithibati kwa
mujibu wa sheria za uendeshaji vyuo vya
ufundi nchini, na vyuo vitakavyoshindwa
kutekeleza agizo hili vitafungiwa mara
moja.
Mhandisi Mlote pia alitoa onyo akisema
“vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila
kusajiliwa kwa mujibu wa sheria nimevipa
muda wa wiki mbili na navitaka vijisajili
mara moja kwenye Baraza kabla ya
kuchukuliwa hatua kali za kisheria”.
Mhandisi Mlote alivitaja vyuo vyote vyenye
matatizo kama ifuatavyo:
Jedwali I: Vyuo vya Ufundi Vilivyofutiwa
Usajili
NA. CHUO
State College of Health and Allied
Sciences - Dar es Salaam
Zoom Polytechnic College - Dar es
Salaam
Tabitha College – Dar es Salaam
(formerly: Thabita Vocational
Training College - Dar es Salaam)
Financial Training Centre - Dar es
Salaam
TMBI College of Business and
Finance - Dar es Salaam
Jedwali II: Vyuo ambavyo Havijasajiliwa
na vinavyoendesha Programu
zisizo na Kibali cha Baraza
NA. CHUO
1. King Solomoni College - Arusha
2. Avocet College of Hotel Management -
Arusha
3. Kewovac Nursing Training Centre - Mbagala,
Dar es Salaam
4. St. Family Health Training Institute -
Mbagala, Dar es Salaam
5. Bethesda Montessori Teachers Training
College - Arusha
6. Green Themi Teacher’s College & Green
Themi Institute of Tourism
7. Mainland Institute of Professionals - Arusha
8. St. David College of Health - Dar es Salaam
9. Islamic Culture School - Dar es Salaam
10. Tanzania Education College - Dar es Salaam
11. Macmillan Training College - Dar es Salaam
12. Tanzania International University (TIU) -
Dar es Salaam
13. Dodoma College of Business Management -
Dodoma
14. Faraja Health and Emergencies - Mbeya
15. St. Joseph College - Mbeya
16. St. Peter Health Management - Mbeya
17. Kapombe Nursing School - Mbeya
18. Uyole Health Institute - Mbeya
19. Josephine Health Institute - Mbeya
20. Institute of Public Administration - Chake
chake Pemba
21. Dar es Salaam College of Hotel and Business
Studies - Vuga, Unguja, Zanzibar and Chake
Chake, Pemba, Zanzibar
22. Zanzibar Training Institute, the Professional
College of Information Technology,
Languages and Business Studies - Mwera
Meli Sita Unguja Zanzibar
23. Azania College of Management - Raha Leo,
Zanzibar
24. Time School of Journalism - Chakechake,
Pemba
25. Residence Professional College - Mombasa,
Zanzibar
26. Mkolani Foundation Organisation - Mwanza
27. Kahama College of Health Sciences - Kahama
28. Institute of Adult Education-Mwanza
Campus - Luchelele Site
29. Zoom Polytechnic - Bukoba
30. Johrow Star Training College - Shinyanga
31. St. Thomas Training College – Shinyanga
32. Dar es Salaam School of Journalism and
Mass Communication DMSJ - Bukoba
33. Dar es Salaam School of Journalism and
Mass Communication (DMSJ - Mwanza
34. Dar es Salaam School of Journalism and
Mass Communication (DMSJ - Geita
35. Dar es Salaam School of Journalism and
Mass Communication (DMSJ - Simiyu
36. Harvest Institute of Health Sciences -
Mwanza
37. Singin International - Bukoba
38. College of Business Management - Mombasa,
Zanzibar
39. Tanzania Star Teachers College -
Chakechake, Pemba, Zanzibar
40. Tanzania Star Teachers College - Unguja,
Zanzibar
41. St. Mary's International School of Business -
Sumbawanga
Jedwali III: Vyuo Vilivyosajiliwa lakini
Vinatoa Programu zisizo na
Kibali cha Baraza
NA. CHUO PROGRAMU
1.
AP and Prime College of
Business Studies - Dar es
Salaam
Medical Attendant
Nursing Assistant
2. Universal College of Africa -
Dar es Salaam
Banking and Finance
Business Administration
Clearing and Forwarding
Airfares
Information and
Communication Technology
Nursing
Hotel Management
Secretarial Course
Procurement and Supplies
3.
Professional Skills
Development International
(PSDI-CENTRE) Centre -
Bagamoyo
Offering Non-NTA
programmes (Various Short
Courses)
4. Ruter Institute of Financial
Management - Mwanza
Accountancy
Procurement and Supply
Banking and Finance
ICT
5. Mwanza Polytechnic College
- Maswa
Ordinary Diploma in Early
Childhood Education
6. Royal College of Tanzania -
Dar es Salaam
Law
7.
Belvedere Business and
Technology College -
Mwanza
Accountancy
8.
Chato College of Health
Sciences and Technology -
Chato
Pharmacy
9
St. Glory College of Health
and Allied Sciences - Dar es
Salaam
Medical Attendant
10. Zoom Polytechnic College -
Dar es Salaam
Computer Science
11. Zanzibar Technology
College - Zanzibar
Computer Science
Business Information System
Jendwali IV: Vyuo vyenye Hadhi ya Usajili
Iliyokwisha Muda wake
NA. CHUO
Mteule Training
College - Morogoro
Favre Language
and
Communication
Institute - Dar es
Salaam
Eagle Wings
Training College -
Dar-es-Salaam
The Sinon College -
Dar es Salaam
Green Hill Institute
(GHI) - Mbeya
Institute of
Business
Management (IBM)
- Morogoro
Modern
Commercial
Institute (MCI) -
Dar es Salaam
Evin School of
Management - Dar
es Salaam
SAMFELIS College
of Business Studies
- Dar es Salaam
Agape College - Dar
es Salaam
Belvedere Business
and Technology
College - Mwanza
Dar es Salaam
Institute of
Business
Management - Dar
es Salaam
Ellys Institute of
Technology - Bunda
Tanzania Institute
of Chartered
Secretaries and
Administrators
(TICSA) - Arusha
Msakamali
Institute of
Business Studies
and Technology
(MIBST) - Msata
Cum Laude College
- Njombe
Tarime Institute of
Business
Management
(formerly Tarime
Business Training
Institute) - Tarime
Dar es Salaam
College of Hotel
and Business
Studies - Dar es
Salaam
Institute of
Management and
Development
Studies - Iringa
(Formerly: Sophist
Tanzania College -
Iringa)
Greenbelt
Polytechnic College
- Morogoro
Zanzibar Institute
of Journalism and
Mass
Communication
(ZIJMC) - Zanzibar
Habari Media
Training Centre
(HAMETC) - Dar es
Salaam
City Media College -
Arusha
Arusha East
African Training
Institute - Arusha
AP and Prime
College of Business
Studies – Dar es
Salaam
DayStar Training
College - Dar es
Salaam
Emmanuel
Community College
- Kibaha
Victoria Institute
of Tourism and
Hotel Management
- Mwanza
Zanzibar
Professional
Training Institute
(ZPTI) - Zanzibar
Rungwe
International
College of Business
and
Entrepreneurship -
Mbeya
Mbengwenya
College of Business
and Information
Technology -
Mbinga
Musoma Utalii
College - Shinyanga
Dar es Salaam
Institute of
Journalism and
Mass
Communication
(DIJMC) - Dar es
Salaam
Ubuntu Institute of
Social Justice (UISJ)
- Mwanza
Institute of Skills
Development (ISD) -
Morogoro formerly:
RK Institute of
Innovations (RKII) -
Morogoro)
Mbeya Training
College (MTC) -
Mbeya
Media and Values
Training Institute
(MEVATI) - Dar es
Salaam
Marian College of
Law (MCL) - Dar es
Salaam
PCTL Training
Institute (PTI) -
Dar es Salaam
KAPS Community
Development
Institute - Mafinga,
Iringa
Professional Skills
Development
International
(PSDI-CENTRE)
Centre - Bagamoyo
East African
Institute of
Entrepreneurship
and Financial
Management
(EAIEFM) - Arusha
New Focus College -
Mbeya
Northern Peaks
Business College
(NPBC) - Arusha
Mbalizi Polytechnic
College - Mbeya
Genesis School of
Information
Technology and
Journalism - Dar es
Salaam
47. Kiteto School of
Nursing - Kibaya
48.
Kunduchi Nursing
School – Dar es
Salaam
49.
Wisdom Medical
laboratory
Training and
Research Centre -
Dodoma
50. Global Community
College - Geita
51.
KCMC School of
Assistant Medical
Officers
(Radiology) - Moshi
52.
School of
Physiotherapy -
Moshi
53.
Advanced
Paediatric Nursing
School - Moshi
54.
KCMC Assistant
Medical Officers’
Ophthalmology
School - Moshi
55.
Advanced
Ophthalmic
Nursing School -
Moshi
56.
Nicodemus Hhando
School of Health
Sciences - Manyara
57.
Litembo Health
Laboratory
Sciences School -
Mbinga
58.
Rukwa College of
Health Sciences -
Sumbawanga
59.
Clinical Officers’
Training Centre -
Songea
60.
Clinical Officers’
Training Centre -
Sumbawanga
61. Isimila Nursing
School - Iringa
62.
St. Peters Health
Training Institute -
Iringa
63. CAGETI Polytechnic
College - Mafinga
64. Makambako
Institute of Health
Sciences -
Makambako
65. Mbozi School of
Nursing - Mbeya
66.
Biharamulo Health
Sciences Training
College - Kagera
67.
St. Bernard Health
Training Institute -
Katoro, Geita
68.
Karagwe College of
Medical Laboratory
and Allied Sciences
- Karagwe
69.
Geita Medical
Laboratory and
Nursing Training
College - Geita
70.
Royona College of
Health and Allied
Sciences - Mwanza
71.
Assistant Medical
Officers’ Training
Centre - Bugando
72.
GISAN Health
Training Institute -
Mwanza
73.
St.
Maximilliancolbe
Health College -
Tabora
74.
Sr. Dr. Thekla
Nyangao School of
Nursing - Lindi
75.
Karatu Health
Training Institute -
Arusha
76.
St. Peter’s College
of Health Science –
Dar es Salaam
77. St. Gaspar Nursing
School - Singida
78.
City College of
Health and Allied
Sciences - Dar es
Salaam
79. Sumve School of
Nursing - Kwimba
80.
Pamoja College of
Agriculture and
Livestock - Babati
81.
Regional Aviation
College - Dar es
Salaam
82.
Institute of
Management and
Information
Technology - Dar es
Salaam
83.
Institute for
Environment and
Development
Sustainability - Dar
es Salaam
84.
Fire and Rescue
Training Centre -
Dar es Salaam
85. TPDF IT Centre -
Dar es Salaam
86.
Zanzibar
Technology College
- Zanzibar
87.
Modern
Polytechnic -
Zanzibar
88.
Community
Resources
Development
Organisation
Training Institute -
Mwanza
89.
Muleba Lutheran
Vocational
Training Centre -
Muleba
90.
Ministry of
Agriculture
Training Institute
Maruku -Bukoba
91.
Mwangaria
Institute of
Agriculture and
Livestock - Moshi
92.
Simanjiro Animal
Husbandry
Vocational
Training Centre -
Arusha
93. MATI IGURUSI -
Mbeya
94.
Kilimanjaro
Agricultural
Training Centre -
Moshi
95. LITA Buhuri -
Tanga
96.
Forest Industries
Training Institute
(FITI) - Moshi-
97.
Arusha Institute of
Technology -
Arusha
98. MATI Mtwara -
Mtwara
99.
National
Meteorological
Training Centre -
Kigoma
100. Visele Live-crop
Skills Training
Centre - Mpwapwa
101.
Mt. Maria Goretti
College of
Agriculture -
Mazombe, Kilolo
102. Institute of Lands
– Dar es Salaam
103.
Horticulture
Research and
Training Institute
(HORTI) – Tengeru,
Arusha
104.
VETA Kipawa
Information and
Communication
Technology – Dar
es Salaam
105.
Gataraye Research
and Training
Centre – Dar es
Salaam
106. Nyerere Road
Teacher’s College -
Singida
107. Bugingo Teachers
College - Pwani
108. Majority Teacher’s
College - Mbeya
109. MAM Institute of
Education - Mbeya
110. Victoria Unique
College - Mwanza
111. Mwanza
Polytechnic
Institute - Mwanza
112. Zanzibar
Education College -
Zanzibar
Jedwali V: Vyuo vyenye Hadhi ya Ithibati
Iliyokwisha Muda wake
NA. CHUO
1. Gender Training Institute (GTI) - Dar es
Salaam
2. DINOBB Institute of Sciences and Business
Technology -Ipinda, Mbeya
3. Royal College of Tanzania (formerly: Royal
College of Journalism - Dar es Salaam)
4. Morogoro School of Journalism (MSJ) -
Morogoro
5. Dar-es-Salaam School of Journalism (DSJ) -
Dar es Salaam
6. Shukrani International College of Business
Management and Administration - Mbeya
7. Dar-es-Salaam City College (DACICO) - Dar
es Salaam
8. Institute of Continuing and Professional
Studies – Zanzibar
9. Korogwe School of Nursing - Korogwe
10. Dental Therapists Training Centre - Tanga
11. Dental Therapists Training Centre - Mbeya
12. Assistant Medical Officers’ Training Centre -
Tanga
13. Assistant Medical Officers’ Training Centre -
Mbeya
14. School of Dental Therapy - Mbeya
15. Njombe School of Nursing - Njombe
16. Clinical Officers’ Training Centre - Mafinga
17. Kibaha Clinical Officers’ Training Centre –
Coast Region
18. Mkomaindo School of Nursing - Masasi
19. Tosamaganga School of Nursing - Iringa
20. Newala School of Nursing - Mtwara
21. Mbulu School of Nursing - Manyara
22. Lindi Clinical Officers’ Training Centre -
Lindi
23. Maswa Clinical Officers’ Training Centre -
Shinyanga
24. KCMC School of Physiotherapy - Moshi
25. KCMC School of Advanced Paediatric
Nursing - Moshi
26. KCMC AMO Anaesthesia School - Moshi
27. Geita School of Nursing - Geita
28. Muhimbili School of Midwifery - Dar es
Salaam
29. Sengerema Health Training Institute -
Sengerema
30. KAM College of Health Sciences - Dar-es-
Salaam
31. Kilimatinde Nurses and Midwives Training
School - Manyoni
32. Kiomboi Nurses and Midwives Training
School - Iramba
33. Royal Training Institute - Dar-es-Salaam
34. Heri School of Nursing - Kigoma
35. College of Health Sciences Zanzibar -
Zanzibar
36. Clinical Officers’ Training Centre - Musoma
37. Kagemu School of Environmental Health
Sciences - Bukoba
38. Bugando School of Nursing - Mwanza
39. Ngudu School of Environmental Health
Sciences - Kwimba
40. Lugalo Military Medical School - Dar-es-
Salaam
41. Lugarawa School of Nursing - Ludewa
42. Mvumi Institute of Health Sciences - Dodoma
43. Masasi Clinical Assistants Training Centre -
Masasi
44. Ndanda Nursing School - Masasi
45. Massana College of Nursing - Dar-es-Salaam
46. Machame Health Training Institute -
Kilimanjaro
47. Vector Control Training Centre - Muheza
48. Operating Theatre Management School -
Mbeya
49. Tarime School of Nursing - Tarime
50. Bandari College – Dar es Salaam
51. Civil Aviation Training Centre - Dar es
Salaam
52. Institute of Wildlife Management Pasiansi -
Mwanza
Imetolewa na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAREHE: 3 AGOSTI 2016
0 Comments
on