Hope Lucy Ruhinda: Napenda Kuwa Na Mwanaume Asie Nipangia Aina Ya Mavazi Ya Kuvaa
Hope Lucy Ruhinda ( 25 ) ni mwanamitindo anae fanya vizuri sana katika tasnia ya urembo nchini Afrika.
Mwanamitindo
huyu ambaye ni mtanzania kwa mama, na mnyarwanda kwa baba,
kupitia kazi zake za mitindo , ameonyesha nia ya kufika mbali
katika tasnia ya mitindo., huku lengo lake likiwa kufikia
level za kimataifa kama Naomi Campbell.
Akielezea kuhus safari yake katika tasnia ya mitindo, Hope anasema
“Tangu
nikiwa shule ya msingi, siku zote nilikuwa nikitamani sana
kuwa muimbaji, dancer au mwanamitindo. Lakini kwa kuwa sikuwa na
kipaji cha kuimba wala kudance, nikaamua kujikita katika mitindo
“
Akaongeza“
Nilipofika O-Level nikaanza kufanya modeling for fun. Hapo
nilikuwa bado Tanzania. Nilipo maliza O-Level huko Tanzania,
nilikuja kujiunga na masomo ya A-Level katika shule ya
sekondari ya FAWE Girls’ Secondary School hapa Kigali.”
Nilipo
maliza A-Level nilienda kushiriki Miss Rwanda, baada ya
kushauriwa na kushawishiwa na rafiki zangu wa karibu. Mwanzoni
nilikuwa mgumu kukubali ushauri wao, lakini baada ya kutafakari
kwa muda, nikaamua kushiriki.
Kwenye
mashindano sikufanikiwa kuchukua taji la Miss Rwanda, Nililia
sana siku hiyo. Sababu kuu ya kushindwa kwangu, walitaka mtu
anaye weza kuzungumza Kinyarwanda fluent, na mimi sikuwa na
uwezo huo.
Hata
hivyo, shindano la Miss Rwanda lilinipa exposure kubwa sana.
Baada ya kuniona, baadhi ya wadau wa masuala ya mitindo,
walinishauri niingie kwenye mitindo.
So show ya Rwanda Cultural Fashion ilipoanza, mwaka 2013 nilijiandikisha na kushiriki na kufanya vizuri sana.
Niliingia
kwenye modeling ili niweze kublend it na business. Nina ndoto za
kuwa mfanya biashara mkubwa, ndio maana ninasoma biashara pale
University Of Kigali
Hope
anawashauri wanamitindo wafanye kazi kwa kujituma na wawe
wajanja wa kutafuta na kuzitumia fursa mbalimbali za mitindo,
kwani modeling ni kazi kubwa yenye fursa nyingi sana za
kibiashara.
Ana
amini kuwa kujulikana “ exposure’ ni hatua kubwa sana kwa
mwanamitindo kuweza kupata nafasi ya kupata deals na endorsements
Pamoja
na kwamba, ana ndoto za kuwa mfanyabishara mkubwa, lakini ana
amini pesa si kila kitu. Kwake yeye kuwa na hekima ni bora
kuwa na pesa na mali nyingi. “ Maarifa hudumu daima milele
lakini, pesa na mali huweza kuisha na kutekeketea wakati wowote.
Akitoa
maoni na mtazamo wake kuhusu wanaume anasema “ Wanawake hatuwezi
kuishi bila wanaume. Vile vile, wanaume hawawezi kuishi bila
wanawake. Hii ndio sababu Mungu aliwaumba Adam na Eva
Kuhusu aina ya mwanaume anaye mpenda , Hope anasema :
“
Napenda niwe na mwanaume ambaye hanipangii aina ya mavazi ya
kuvaa. Pesa na muonekano, havina umuhimu wowote kwangi, ili mradi
tu ninaishi maisha huru ya bila kuwa na stress. “
Kuhusu
aina ya kifo ambacho atapenda afe, Hope anasema, “ hakuna mtu
asie ogopa kufa, lakini si njambo baya kuomba kifo chema, na mimi
katika hilo, ninamuomba Mungu, siku yangu ikifika nife nikiwa
usingizini.
Kuhusu
asicho kipenda, Hope anasema hapendi uchafu,. Anachukizwa sana na
uchafu. Usafi ndio kila kitu kwangu, hata nilipo kuwa Fawe
Girls, nilipewa cheti cha kuwa mwanafunzi msafi.
Mbali
na mitindo, Hope anajishughulisha na kazi mbalimbali za kijamii,
huku akipenda zaidi kuwasaidia watu w asio jiweza na wanaoishi
katika mazingira magumu.
“
Huwa ninafarijika sana moyoni, ninapo ona mtu Fulani amelala
usingizi mzuri na wa amani, kwa sababu ya msaada nilio mpa.
MAKALA
HAYA YAMELETWA KWETU NA NEEMA HERBALIST BLOG, KWA UDHAMINI
MKUBWA WA NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC,
WAUZAJI WA DAWA MBALIMBALI ZA ASILI KAMA VILE :
1.Dawa asilia ya kuunganisha mifupa, pingili na kukomaza mifupa.
2.Dawa asilia ya kuondoa maumivu ya misuli, kurekebisha mishipa na misuli
3.Dawa asilia kwa wagonjwa wa kiharusi (Kupooza)
4.Dawa asilia ya kutibu majeraha
5. Dawa asilia ya kutibu vidonda ndugu
6.Dawa asilia ya kuondoa uchovu na kuwashwa
7.Dawa asilia ya kuondoa mafuta kwenye damu ( kolestrol /lehemu)
8.Dawa asilia ya kutibu tatizo la nyongo
9. Dawa asilia ya kutibu gauti
10. Dawa asilia ya uzazi wa mpango
11. Dawa asilia ya kutibu tatizo la Goita
12.Dawa asilia ya kutibu tatizo la change la watoto wachanga.
13.Dawa asilia ya kutibu vidonda vya tumbo
14.Dawa asilia ya kutibu mzio ( Allergy)
15.Dawa asilia ya kutibu tatizo la degedege kwa watoto wenye umri wa kati ya miezi 6 hadi tisa.
16.Dawa asilia ya kurutubisha mayai ya uzazi na kuzibua mirija ya uzazi kwa wanawake.
17.Dawa asilia ya kutibu tatizo la utasa kwa wanaume.
18.Dawa asilia ya kusaidia kugeuza mtoto aliye kaa vibaya tumboni ( Mfano: Katanguliza mikono, makalio n.k )
19.Dawa asilia ya kupunguza kitambi, uzito na unene uliozidi.
20.Dawa asilia ya kutibu tatizo la vinyama vya puani.
21.Dawa asilia ya kutibu tatizo la bawaziri.
22.Dawa asilia ya kutibu tatizo la uchungu wa pili baada ya kujifungua.
23.Dawa asilia ya kutibu majeraha ya moto pamoja na makovu yatokanayo na moyo.
24.Dawa asilia ya kutiu tatizo la kwikwi
25.Dawa asilia ya kutibu tatizo la kutokwa na harufu mbaya kinywani
26.Dawa asilia ya kutibu tatizo la kutoa harufu mbaya mwilini
27.Dawa asilia ya kusaidia kunenepesha mtu aliye dhoofu mwili
28.Dawa asilia ya kutibu tatizo la uvimbe wa tumboni ( FIBROID )
29.Dawa asilia ya kisukari
30.Dawa
asilia kwa watu wenye tatizo la moyo, presha ya kupanda, presha
ya kushuka, moyo kupanuka na matundu kwenye moyo.
31.Dawa asilia ya kutibu tatizo la U.T.I, kaswende, kisonono sugu na Taifodi.
32.Dawa asilia ya kutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi
33.Dawa asilia ya kutibu tatizo la kubanwa mkojo na maumivu kwenye njia ya mkojo
34.Dawa asilia ya kutibu tatizo la kujikojolea
35.Dawa asilia ya kusafisha figo na kibofu cha mkojo
36.Dawa asilia ya kuondoa sumu mwilini
37.Dawa asilia ya kuondoa maumivu ya hedhi
38.Dawa asilia za kuondoa sumu ya nyoka, na nge.
39.Dawa asilia ya kutibu tatizo la pumu
40.Dawa asilia ya kuyeyusha uvimbe kwenye lango la uzazi.
41.Dawa asilia ya kutibu malaria sugu
42.Dawa asilia ya kutibu tatizo la upara
43.Dawa asilia ya kutibu tatizo la kikohozi sugu na kimeo.
44.Dawa asilia ya kutibu tatizo la ngiri
45.Mawe kwenye figo
46.Kukosa choo
47.Kukosa hamu ya kula
48. Chango la kike
49. Kutanua nyonga ( Kuzaa bila kupasuliwa )
50.Nguvu za kiume
51. Hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
52.Mtoto kuchelewa kutembea
DAWA ZOTE HIZI NI ZA ASILIA KABISA NA HAZINA KEMIKALI ZA VIWANDANI.
Tunapatikana
UBUNGO jijini DAR ES SALAAM, jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO
NATIONAL HOUSING, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa
wateja waliopo Dar Es Salaam, ambao hawana nafasi ya kufika
ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali popote walipo.
Kwa wateja waliopo mikoani, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi.
Kwa wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti.
Kwa wateja waliopo Mombasa, watatumiwa dawa kupitia basi la TAHMEED.
Kwa wateja waliopo jijini Nairobi, watatumiwa dawa kupitia basi la DAR EXRESS.
Na kwa wateja waliopo ughaibuni, watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA:
0766 – 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku, kupitia :
0 Comments
on