Licha
ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana
kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone
Jumamosi hii.
Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa mvua kubwa ilinyesha na kulazimu
show yake kusimama kwa muda. Hata hivyo mashabiki waliokuwa na hamu
kumuona akitumbuiza, walisubiri hadi ilipokata.
Kwenye show hiyo Diamond alitumbuiza live. Hizi ni picha zaidi:
0 Comments
on