Header Ads Widget

Picha: Alikiba asherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutembelea mbugani

Leo ni siku ya kuzaliwa ya Alikiba. Na kusherehekea siku hiyo muhimu kwake, muimbaji huyo mahiri alitumia private jet kwenda na timu yake ya Rockstar4000 akiwemo Barakah Da Prince kwenda mbugani. Chini ni picha alizoweka kwenye Instagram.

15035791_1132365460216730_750326594723119104_n
15043504_284177238643948_2563693934924529664_n
15043872_1365337533505811_6368188300867403776_n
Mfahamu zaidi Alikiba kwa kutazama interview hiyo chini.

Post a Comment

0 Comments