Header Ads Widget

FAHAMU JINSI YA KU ACTIVATE WINDOW 10



Nimepokea  swali hili
    "NIMEDOWNLOAD WINDOW 10 KWENYE MTANDAO NA KUINSTALL KWENYE PC YANGU, LAKINI INANIAMBIA NI ACTIVATE, NISAIDIE NAFANYAJE ILI IWE ACTIVATED? "

 NIi swali zuri sana kwani limenifanya nijue ni kipi cha kuandika, okay mdau wangu nitakwambia leo ni njia gani ambazo unaweza kuzitumia ili ku activate windows10.
   kwanza pole sana kwa hilo.labda nikujuze tu kwamba huwezi pata windows 10 kwenye mtandao ambayo iko full activated. windows 10 yoyote utakayo idownload kwenye mtandao binafsi wa mtu lazima itadai products key wakati unafanya installation na lazima idai activation kama utafanikiwa kuinstall.
         Sasa ungana nami hapo chini ili kukufahamisha ni jinsi gani unaweza pata kuactivate windows 10 
   
NJIA ZA KU ATIVATE WINDOWS10
   1.KWA KU UPGRADE KUTOKA WINDOWS7 AU WINDOWS8 AU 8.1
           Kama unataka kupata window10 ambayo ipo Activated basi itakulazima kuiupgrade windows yako unayoitumia. ni rahisi zaidi kufanya hivyo kama unatumia window7 au window8 au 8.1.
  kwani kwa kupitia njia hii window10 hutumia product keys na activation keys za window yako ya zamani kujiactivate.
  hakikisha kabla huja upgrade hiyo window unayo tuma iwe full activated. click hapa kujua jinsi ya ku upgrade ili kupata activated window 10
  kama ukiupgrade na bado ikadai uiactivate basi fata hatua hii hapa nenda kwenye  Start Start button icon, then selectSettings > Update & security >Activation.
kwa hatua hii akikisha simu yako iko kwenye internet. kwani utatakiwa ku activate online, ikikataa acha tu kwani itajiactivate yenyewe pale itakapo kuwa inajiupdate. au kama pc yako ulinunua dukani basi lazima kwa nyuma itakuwa na stika yenye product key. hivyo nenda 
Start Start button icon, then select Settings > Update & security > Activation. kisha ingiza hizo key kwenye stika pale palipo andikwa change product key


2. KUINGIZA ACTIVATION KEY  ZINAZO KIJA KWENYE KASHA LA DVD
      Kama ulinunua window dukani basi lazima ije na key zake kwenye kasha. unachotakiwa kufanya mara baada ya kumaliza kuinstall window10 yako ni hiki hapa
 nenda  Start Start button icon, then select Settings > Update & security > Activation. kisha ingiza hizo product key zilizopo kwenye kasha la DVD yako uliyo nunua 
ingiza hizo key hapo palipo andikwa change product key
  



3. KWA KUTUMIA WINDOW 10 ACTIVATOR
        Njia rahisi ya kuactivate window 10 hasa ile inayoweza patikana kwa kudownload kutoka kwenye mitandao/blog za watu binafsi ni kwa kutumia sofftware ijulikanayo kama windows10 activator. microsoft hawajatoa activator ya window10 hii inayotumika ni crack na inafanya kazi kwa  asilimia mia moja (100%)
   App hii pia ina uwezo wa kuactivate winows8 na office 360.
kama unahitaji kuactivate windows yako kwa urahisi zadi tumia app hii. kuipata wasiliana nasi kwa whatsapp 0752313428.
Hizo ndo njia rahisi ambazo unaweza kuzitumia ili ku activate windows10. 
  kwa ushauri,maoni au swali lolote wasiliana nasi kupitia whatsapp/call  0628971075 acha comment yako hapo chini.  




Post a Comment

0 Comments