Huu ni wimbo wa ziada kutoka kwenye albamu ya Truba inayokwenda kwa jina la MWALUSAMBA itakayokuwa mtaani mwezi wa kwanza mwaka 2017. wimbo huu una lengo la kuwarudisha kwenye mstari wasanii walio nje ya misingi ya utamaduni wa HIP HOP na kutoa mwongozo wa jinsi muziki wa HIP HOP unavyotakiwa kufanywa. Wimbo huu ni utangulizi wa wimbo utakaotoka mwezi wa kwanza nilioshirikiana ya msanii YOUNG KILLER pamoja LAYLA toka THT. KAULI MBIU YETU. #RUDI KUNDINI# WE OWN GAME.
DOWNLOAD
DOWNLOAD
0 Comments
on