Header Ads Widget

ZIFAHAMU NJIA TATU ZA KURESERT/HARD RESET iPHONE NA iPAD

Leo naenda moja kwa moja kukuelekeza njia tatu ambazo mtumiaji wa simu ya iphone au ipad ya apple anaweza kuzitumia ili kurestore/kuresert/kuhard resert kifaa chake.
 angalizo: Kabla ya kufanya hatua hizi hakikisha umeback data zako kwenye simu au ipad yako kwani  njia hizi husababisha kufutika kwa data zote kwenye simu. hivyo ni vyema kufanya back up ili data zako zisipotee
 toa sim card yako na memory card endapo kifaa chako kina sehemu ya memory card japo simu za iphone na ipad huwa hazina sehemu ya sd card

NJIA YA KWANZA

 Hard Reset iPhone kwa kutumia Home na Power Button

Hatua; bonyeza home button na powe button kwa pamoja hadi simu yako au ipad yako izime usiachie hadi itakapoanza kuwaka tena. ukioma alama /logo ya APPLE imetokea achia hizo buttan kwani hapo tayari utakuwa umeesha fanya Hard reset

hard reset iPhone with Home and Power button


NJIA YA PILI

Hard Reset iPhone kwa kutumia  Menu ya simu/ipad

Hatua;
1 Nenda kwenye Settings > General > Reset and select "Erase All Content and Settings
hard reset iPhone with menu

utatokea ujumbe usemao  restore iPhone to factory settings, wewe bonyeza ok kisha fata maelekezo yatakayo fuata. baada ya hapo kifaa chako  kita restart na kuwaka tena.
  MWAISHO WA NJIA YA PILI

NJIA YA TATU

Hard Reset iPhone from Recovery Mode  kwa kutumia  software

Njia hii hutumika endapo hujui password za kifaa husika na pia kama button aidha moja katika kifaa chako hazifanyi kazi. kama simu yako button zote ni nzima na zinafanya kazi, na password unaijua basi tumia moja kati ya njia hizo hapo juu achana na hii kwani hii inahitaji muda na umakini wa hali ya juu.
 ili kutumia njia hii unatakiwa kuwa na
Computer
iOSBoot Genius
itune
 HATUA 
 Install itune na iOSBoot Genius kwenye computer  yako
Chomeka kifaa chako (iphone/ipad) kwa kutumia Usb cable
Kisha Run iOSBoot kisha angalia kama simu yako imesoma kwenye computer
     utaona ujumbe unaosema your iOs device is now connected

factory reset iPhone by entering recovery mode

Bonyeza Enter iPhone recovery mode 
 itune itatoa ujumbe usemao iPhone is in recovery mode and you must restore it before it can be used with iTunes  kisha wewe bonyeza OK
Kisha bonyeza "Restore iPhone" ilikurestore kifaa chako kwa kutumia itune
 hakikisha itune yako ipo up to date kama bado iupdate kwanza  vinginevyo itashindwa  kusoma simu yako

MWISHO

Jiunge na djadam64.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter's  na Instagram  ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka djadam64.com



Post a Comment

0 Comments