Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni
Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani
kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge
amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India
alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni
Mhe Freeman Mbowe aliyemtembelea Nyumbani
kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni
Mhe Freeman Mbowe aliyemtembelea Nyumbani
kwake Jijini Dar es Salaam.
Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni
Mhe Freeman Mbowe akiagana na Spika wa
Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea
Nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.(Picha na
Ofisi ya Bunge
0 Comments
on