Home
About
Contact
Header Ads Widget
Home-icon
Features
_Multi DropDown
__DropDown 1
__DropDown 2
__DropDown 3
_ShortCodes
_SiteMap
_Error Page
Mega Menu
Learn Blogging
Documentation
_Web Documentation
_Video Documentation
Download This Template
Home
Magarazeti
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Agosti 10
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Agosti 10
by -
DJ adam64
on -
August 09, 2016
Post a Comment
0 Comments
Facebook
Popular Posts
Habari
Mganga wa Kienyeji Auawa Akitaka Kumbaka Mgonjwa Mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje (55), mkazi wa kijiji cha Singita kilichopo Kata ya Usanda wilayani Shinyanga ameuawa kwa kupigwa na wananchi ikielezwa alijaribu kutaka kumbaka mteja wake. Mteja huyo ambaye ni mwanamke mwenye umri wa miaka 20 (jina linahifadhiwa) alikwenda kutibiwa kwa lengo la kupata mtoto. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga, Muliro Jumanne, tukio hilo ni la Novemba 29 mwaka huu, akisema lilitokea majira ya saa tano asubuhi. Alisema Kashinje alifariki dunia alipokuwa anakimbizwa hospitali baada ya kujeruhiwa kwa kitu chenye ncha kali katika jicho la kulia na kupigwa kwa fimbo mgongoni na watu waliojichukulia sheria mkononi. “Watu hao walijichukulia sheria mkononi baada ya mganga huyo kujaribu kumbaka mwanamke (jina linahifadhiwa), mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi wilaya ya Shinyanga ambaye alikuwa akimtibu kwa tiba za asili ili aweze kupata mtoto”, alieleza kamanda Muliro. Alisema tatizo lililompeleka mwanamke huyo kwa mganga ni kupata tiba ili aweze kupata mtoto. Kamanda Muliro alibainisha kuwa chanzo cha tukio hilo ni tamaa za kimwili na uongo wa kimatibabu wa kutaka kumuingilia kimwili mgonjwa wake baada ya kumlewesha kwa dawa za kienyeji, lakini alifanikiwa kupiga kelele na ndipo wananchi walipomvamia mganga huyo.
by -
DJ adam64
on -
December 01, 2016
VIDEO: Application iliyozinduliwa kwa ajili ya kuzuia ajali barabarani
August 19, 2016
Sakata la Oparesheni UKUTA Lailazimu Tume ya Haki na Utawala Bora Kuandaa kikao cha pamoja kati ya Chadema, CCM na Jeshi la Polisi
August 07, 2016
Serikali Yatoa Siku 14 kutatua changamoto za watumishi Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)
August 10, 2016
Social Plugin
Tangaza nasi
June 2020
26
May 2020
29
April 2020
1
December 2019
1
October 2019
4
August 2019
1
June 2019
6
October 2017
1
June 2017
2
April 2017
28
March 2017
8
February 2017
4
January 2017
6
December 2016
304
November 2016
279
October 2016
320
September 2016
300
August 2016
415
July 2016
2
Search This Blog
Report Abuse
Powered by Blogger
0 Comments
on