Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni Serikali
ilijipanga kuongeza kodi kwa kazi za filamu na
muziki zinazotoka nje na kuingizwa nchini.
Miongoni mwa wasanii walioguswa na kauli hiyo ni
Steve Nyerere ambaye kupitia millardayo.com
kayaogea haya….>> Nafurahi Mheshimiwa Nape na
wizara yake wameanza kuzifungia hizi filamu za
nje kwahiyo kwa upande wetu watuvumilie kidogo
tujipange tuzuie hizi filamu za nje ili filamu za
ndani zifanye tupate muamala mzuri wa fedha
kumkata kodi itakuwa sio tatizo‘- Steve Nyerere
0 Comments
on