Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wenye umri
mkubwa kwenye muziki wa bongofleva na bado
wameendelea kutosimama kuachia kazi mpya kila
wakati, mpya ya leo ya Juma Nature ni hii single
yake iitwayo Mitumba.
Ukishamaliza kuisikiliza single hiyo sio mbaya
ukituachia na comment yako mkali huyo akipita
hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
0 Comments
on