Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni
Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea
nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa
Bunge amerejea nchini hivi karibuni kutoka
nchini India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi
wa afya yake....
0 Comments
on