Hii ni mpya kutoka kwa Staa wa bongo fleva
kutokea kundi la TMK Wanaume family , Chege
ambae leo August 3 2016 ametuletea hii single
mpya aliyomshirikisha Diamond PLatnumz wimbo
unaitwa ‘ waache waowane ’.
Unaweza kusikiliza mdundo huu hapa chini….