Moto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana huu.

 Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. Haijafahakima bado kama kuna mtu aliyepoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na tukio hilo la moto.

Moto ukiendelea kuteketeza Jengo hilo.Baadhi ya Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na kazi ya uzimaji wa Moto huo, uliozuka ghafla kutokea katika Jiko la Hoteli hiyo, Mchana huu.