Leo October 2 ndo siku aliozaliwa Naseeb Abdul Juma ukipenda muite Diamond Platinumz huyu ndo icon wa mziki wa Tanzania na ni moja ya watu aliofanya mziki wetu sasa ivi unapigwa kwny channel za kimataifa na baadhi ya wasanii wanapata nomination zao za kwanza katika izo tuzo licha ya kuwepo kwenye game kabla ya Diamond.
 
Ni Diamond huyu huyu ndie inspiration kwa vijana na watoto wa Tanzania waliokataliwa na baba zao kulelewa na mama tu ila wakaja kutusua kimaisha ivyo pia kutoa fundisho mtoto hakataliwi hasa kwa wanaume wanapenda kukana mimba na pia amethibitisha kuwa unaweza usiwe na elimu kubwa ila ukafanikiwa kimaisha kupitia kipaji chako na ikumbukwe hamna aliezaliwa hapa duniani bila kipaji.
 

Happy birthday Naseeb Abdul Juma, (Diamond Platinumz) uishi miaka mingi na heri duniani na uendelezee moyo wa kuwasaidia wasanii wenzako kufika level iyo na kutoa ajira kwa vijana wa kitanzania kupitia lebel yako na kampuni yako WCB



          ----

SHARE Facebook Twitter Google+ Email