Umbi wa kuonyesha movi zinakuwa kwa sana katika maeneo ya miji.
Lakin bado Africa mashariki kuna upungufu mkubwa wa kumbi ukilingalinisha na mataifa mengine.


Kwa mfano marekani(united States) pekee kuna makisio ya kumbi 40,000 kumbi za
sinema inaoshesha kwa kila watu milioni moja kuna kumbi 120.
India(idadi ya wtu 1.25bilion) inakadiriwa kuwa na kumbi 20,000 za sinema wakati
China(Idadi ya watu 1.35bilion) ina kumbi 13,000 za sinema.Africa yote
ina watu 1.1bilion inakadiriwa  kuwa na kumbi chini ya 1,000 za sinema.
Inaonyesha kwa watu milion moja kuna uwepo wa kumbi za sinema chini ya moja.
Hapa hatuzungumzia kumbi za vibanda umiza kama vinavyojulikana bali ukumbi wengi
kuingiza zaida ya watu 150 kwa mara moja...


****Dondoo muhimu kuanzisha ukumbi wa sinema****
1.Tafuta sehemu zenye idadi kubwa ya watu.
2.Ukumbi bora na wenye usalama
2.vifaa

  • Screen si chini ya nchi 42
  • Speaker kubwa
  • project kama huna screen pia project ni gharama nafuu na rahisi kubebeka

3.Movi pendwa.
4.Jitangaze.

Wateja wa kubwa wa hii biashara ni vijana na mara nyingi
hufanyika usiku au weekend.Biashara hii inaenda na uuzaji wa vinywaji laini