Mchezaji gani anaongoza kwa kuwa na magoli mengi kwenye ligi kubwa za Ulaya?, kuna wachezaji wawili tu mbele ya Ronaldo kwenye hii rekodi ambapo anahitaji magoli 12 tu awe juu yao.

Kwa sasa Ronaldo ana magoli 354 ambpo mbele yake kuna legendary striker wa Ujerumani Gerd Muller mwenye magoli 365 na JImmy Greaves wa Spurs mwenye magoli 366 wa Spurs. Baada ya hao anafuatia Ronaldo na anahitaji magoli 12 tu kuwapita.

Strikers wanaoongoza kwa kufunga magoli mengi kwenye ligi kubwa tano ndani ya Ulaya ni 366 ― Jimmy Greaves, 365 ― Gerd Müller ,354 ― Cristiano Ronaldo, 321 ― LEO MESSI na 317 ― Steve Bloomer.Ndani ya mechi chache zijazo Ronaldo anategemewa kuandika rekodi hii mpya kwenye maisha yake ya soka.