Kama unatumia simu ya Android basi kuna uwezekano wa wewe kufanya kitu kinachoitwa update. hii itakusaidia wewe kuweza kupata vitu vipya ambavyo vinatakiwa kuingia kwenye simu yako yaani new android features. 
 Wakati mwingine kupitia ku update simu yako ya android kunaweza kukusaidia wewe kupata operating system mpya ambayo itakuwa imeachiwa na google katika kipindi hicho. mfano kama unatumia Android version ya 4.0 basi kupitia update unaweza ukapata mpya yaani Android version ya 4.4 au hata ya 5.0
    ili uweze kufanya update ya simu yako ya Amdroid unapaswa kufanya yafuatayo.

hakikisha simu yako ina internet ya kutosha au upo kwenye wi-fi yenye nguvu
hakikisha umefanya back up ya Data zako zote.
Ili ku back up data zako  ingia kwenye setting kisha nenda kwenye sehemu iliyoandikwabackup & restore


settings icon

kisha weka tiki palipo andikwabackup data.

  baada ya hapo fata hatua hizi tena

Nenda kwenye simu yako ya android kisha ingia kwenye setting




kisha nenda palipo andikwa about phone. 

about phone icon

kabla ya kuendelea hakikisha unaangalia ni aina gani ya software system ya simu yako unatumia. nenda hapa

android version

baada ya hapo nenda sehemu palipo andikwa system update/software update. kisha bonyeza hapo
Image titled Update an Android Step 4

kisha nenda palipo andikwa  check now

Image titled Update an Android Step 5

kama nilivyokwambia awali ili kuweza kupata update ya simu yako lazima uwe na kifurushi cha internet au uwe kwenye wi-fi
kama kuna UPDATE basi itakuja na itataka uidownload weka yes. 
ikimaliza kudownload  itakuletea option ikikwambia INSTALL/RESTART bonyeza hapo


Image titled Update an Android Step 6

simu itajizima na kujiwasha. subiri imalize usiizime kwani inaweza kushindwa kumaliza na hivyo ukaaribu simu yako. ili kuhakikisha simu haizimiki kwa kukosa chaji chomeka simu yako kwenye chaji wakati inafanya installation ya hizo update
ikimaliza simuitajizima na kujiwasha yenyewe.
NJIA HIZI ZINAWEZA TUMIKA HATA KWA ANDROID TABLETS
ANGALIZO
kama ikiwaka alafu ikawa ina stack basi unatakiwa kui reboot simu yako ili kuiweka sawa
kama unaona huwezi fanya mwenyewe tafuta mtu ambaye anauelewa na mambo ya simu ili akusaidie kufanya hivyo.
  fata hatua hizo hapo juu kwa makini ili kuhakikisha usalama wa simu yako. hatutahusika na uharibifu wa simu yako