Msanii kutoka kwenye tasnia ya Bongo Movie ,
Jacob Stephen aka JB leo Agosti 4, 2016
anachukua headlines kwenye mtandao wake wa
instagram baada ya kutangaza kuelekea kuacha
kuigiza filamu na kujikita katika kusaidia vijana
kwenye masuala ya kuigiza kupitia kampuni yake.
Kauli hiyo mpya ameitoa leo Agosti 4, 2016 kupitia
ukurasa wake wa instagram.>>>> Nimekuwa
nikipokea simu nyingi na sms toka kwa wapenzi
wangu kwa nini napunguza kutoa movie jamani
naomba niwaambie ukweli najiandaa kupumzika
kuigiza…lakini najitengeneza kuwa producer
mkubwa zaidi ndio maana natengeneza hata
Tamthilia…nimeigiza tangu 1998
hadi sasa..nakaribia 50 years‘ – JB

sms toka kwa wapenzi wangu kwa
nini napunguza kutoa movie…jamani
naomba niwaambie ukweli..najiandaa
kupumzika kuigiza…lakini
najitengeneza kuwa producer mkubwa
zaidi…ndio maana natengeneza hata
Tamthilia…nimeigiza tangu 1998 hadi
sasa..nakaribia 50years…kwa umri
wangu natakiwa niwekeze zaidi kwa
vijana ambao naamini wanaweza
kufanya vizuri zaidi…baada ya
kalambati lobo nitafanya movie yangu
moja ya mwisho na kazi itakayo baki
ni kuwasaidia vijana kupitia
jerusalem…nawapenda sana na
asanteni sana kwa kuniunga mkono…
hamjawahi kuniangusha..nawapenda
sana..jb..erickford..danija..dj
ben..bonge la bwana..mzee wa
swagga..Jacob stephene..
0 Comments
on