Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume,
ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya
wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo
sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za
kiume.
Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na
maradhi kisukari, presha,shinikizo la damu,
moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya
ubongo & mishipa ya uti wa mgongo,
matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafrisha
damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na
upigaji punyeto kwa muda mrefu.
Katika makala yetu ya leo, tutaangalia namna
suala la upigaji punyeto linavyo athiri nguvu
za kiume.
Kabla hatujaangalia namna suala la upigaji
punyeto linavyo maliza nguvu za kiume, ni
vyema tukafahamu kwanza kuhusu SAYANSI
YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME.
Kufahamu kuhusu SAYANSI YA MFUMO WA
NGUVU ZA KIUME tafadhali tembelea :
http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/
uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
Ukisoma vizuri kuhusu mfumo wa nguvu za
kiume, utagundua kuwa Suala la nguvu za
kiume ni suala la kimfumo. Ili mwanaume
awe na nguvu za kiume, aendelee kuwa na
nguvu za kiume na azilinde nguvu zake za
kiume, ni lazima ogani zote zinazo husika na
mfumo wa nguvu za kiume ziwe na afya
njema na ziwe na ushirikiano thabiti na
wenye afya.
Vile vile , utagundua kuwa , mambo makuu
muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume
ni kama ifuatavyo:
i.Mishipa imara ya ubongo na yenye afya
njema
ii. Mishipa imara ya uti wa mgongo ( spinal
cords )
iii.Mishipa imara itumikayo kusafirisha damu
mwilini ( Blood Vessels )
iv. Mfumo imara wa usafirishaji damu mwilini
v. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya
njema
vi. Uhusiano imara na wenye afya kati ya
mishipa ya fahamu iliyopo katika ubongo,
mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja
na misuli & mishipa ya kwenye uume.
Hivyo basi, ili mwanaume aweze kuwa na
nguvu imara za kiume, na aendelee kuwa na
nguvu hizo ni lazima mambo yote muhimu
katika mfumo wa nguvu za kiume yawe imara
pasi na hitilafu yoyote.
Hitilafu yoyote katika mambo hayo,
itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa
nguvu za kiume kwa mwanaume huyo. Pale
inapotokea hitilafu ama mapungufu katika
ogani zaidi ya moja kati ya zilizo tajwa hapo
juu, basi tatizo kwa muhusika huwa kubwa
mara dufu.
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO
LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME.
Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya
tendo la ndoa, ubongo hutoa ishara kwenye
mishipa ya uti wa mgongo ambayo nayo
husafirisha taarifa hadi kwenye mishipa &
misuli ya uume.
Mishipa ya uume inapopokea taarifa hiyo,
hutanuka. Na mishipa ya uume inapotanuka,
hufanya mambo mawili muhimu sana :
i.Husababisha mishipa ya ateri kupanuka na
hivyo kuruhusu damu kuingia kwa kasi sana
ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya
uume usimame na kuwa imara bara bara.
ii. Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na
hivyo kuzuia kunyonya ama kufyonza damu
iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume. ( KAZI
KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYO KARIBU
NA MISHIPA YA UUME NI KUHAKIKISHA
HAKUNA DAMU NDANI YA MISHIPA YA UUME.
HIVYO BASI DAMU INAPOINGIA NDANI YA
MISHIPA YA UUME, MISHIPA YA VENA HU
“SENSE” JAMBO HILO KWA HARAKA NA
HIVYO KUIFYONZA DAMU HIYO KUTOKA
KWENYE MISHIPA YA UUME YA KUITOA NJE
YA MISHIPA YA UUME. NA DAMU
INAPOKOSEKANA NDANI YA MISHIPA YA
UUME, HUUFANYA UUME KUSINYAA NA
KULEGEA )
Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo
yafuatayo katika mwili wake :
1. Huuwa nguvu ya mishipa & misuli ya uume
ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa
uume
2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa
nguvu yake ya asili, husababisha mambo
yafuatayo :
i.Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya
uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo
wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu
nyingi sana katika kuufanya uume usimame.
ii.Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya
uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena, na
hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa
punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani
damu inayo ingia kwenye misuli ya uume
hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana.
Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli
ya uume inakuwa imelegea,na mishipa ya vena
inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule
hufanya mishipa ya vena kufunguka na
kufyonza damu kutoka kwenye mishipa ya
uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani
ya dakika ama sekunde chache sana.
3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa na
kurudi ndani na kuufanya uonekane kama uume
wa motto mdogo.
Kwa ufupi punyeto husababisha ukosefu wa
nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :
i.Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya
uume, ambayo ndio hufanya uume kusimama.
ii.Pili hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa
ya ateri, ambayo ndio hutumika kama njia ya
kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya
uume na ivyo kuufanya uume usimame
iii. Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa
mishipa ya vena na hivyo kusababisha damu
kufyonzwa kwa haraka sana kila iingiapo ndani
ya misuli ya uume na matokeo yake ni
uume kusimama kwa muda mfupi sana
wakati wa tendo la ndoa.
iv. Punyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda
kwenye mishipa ya uume, kwa sababu
hudhoofisha misuli & mishipa ya uume
pamoja na mishipa ya ateri ambayo ndio
hutumika katika kusafirisha damu kwenda
kwenye uume
DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA
PUNYETO
Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto ni
kama ifuatavyo:
i. Uume kusinyaa na kuwa kama wa
mtoto
ii. Uume kurudi ndani
iii. Uume kusimama ukiwa legelege
iv. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo
la ndoa.
TIBA YA NGUVU ZA KIUME KWA MTU
ALIYE ATHIRIKA NA PUNYETO.
Dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo JIKO
ni tiba bora na ya uhakika kabisa kwa mtu
aliye athiriwa na punyeto. Dawa hii, pamoja
na mambo mengine mengi, husaidia kufanya
mambio yafuatayo katika mwili wa mwanaume
aliye athiriwa na punyeto :
i.Kuimarisha mishipa & misuli ya uume ulio
legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
ii. Hutibu tatizo la uume kurudi ndani
iii.Humaliza tatizo la kusimama kwa uume
ukiwa legelege
iv.Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika
kieleleni haraka.
BEI YA DAWA : Dawa hii inapatikana kwa
gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI TU
(Tsh. 80,000/=)
MAHALI INAPOPATIKANA : Dawa hii
inapatikana katika duka la dawa asilia liitwalo
NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS
CLINIC lililopo jijini DAR ES SALAAM katika
eneo la UBUNGO nyuma ya jengo la
UBUNGO PLAZA karibu na SHULE YA MSINGI
UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Kwa wateja wasio weza kufika ofisini kwetu.
Watafikishiwa dawa mahali popote walipo jijini
DAR ES SALAAM.
Kwa wateja waliopo mikoani watatumiwa
dawa kwa njia ya MABASI
Kwa wateja waliopo Zanzibar wata fikishiwa
dawa kwa njia ya usafiri wa boti.
Na kwa wateja waliopo UGHAIBUNI
watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA ama
DHL.
MAWASILIANO : WASILIANA NASI KWA SIMU
NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu,
tutembelee kila siku kwenye blogu yetu :
www.neemaherbalist.blogspot.com
0 Comments
on