‘Sikusema mwaka gani inatoka ila album ipo na
siku zote kitu tunachoangalia ni njia tulikuwa
tumezipanga kwa album ya Diamond Platnumz
kuwa Kama international album’- Meneja Sallam

‘Hiyo ndio maana tukaanza kutoa kolabo yake na
P Square kisha nyingine zitakapokamilika ikiwemo
ile na Neyo itakuwa kwenye hiyo album hivyo
album iko njiani mashabiki wakae mkao wa
kuipokea muda wowote
 

Zaidi unaweza kumsikiliza meneja Sallam kwa
kuplay hapa chini..................