Msimu wa burudani unaendelea ambapo August 26 2016 ilikua zamu
ya Kahama kushuhudia wakali wa bongofleva kwenye tamasha la FIESTA
ambalo huwa linazunguka mikoa mbalimbali kila mwaka.
Wakali hawa watakuwepo pia leo jioni Muleba kwenye FIESTA ambapo wengine ni pamoja na Joh Makini, Mr. Blue, Bilnas, Manfongo, Sholo Mwamba na Chege.
Wakali hawa watakuwepo pia leo jioni Muleba kwenye FIESTA ambapo wengine ni pamoja na Joh Makini, Mr. Blue, Bilnas, Manfongo, Sholo Mwamba na Chege.
0 Comments
on