Header Ads Widget

Sababu za Raymond wa WCB kukaa na rasta ndani ya saa 16 kisha kuzinyoa


 Agosti 3, 2016 ambapo msanii kutokea WCB
Raymond aliingia kwenye headlines baada ya
kuchukua maamuzi ya kufunga rasta huku
ikionekana kuwakwaza mashabiki wake wakimtaka
hakitoe
Staa huyo amekubali kuipata heshima
millardayo.com & Ayo TV na kayangea haya…
>>>>Unajua watu hawakuelewa sikuweka zile rasta
kama ni style yangu mpya hapana niliziweka
kwasababu ya kufanya photoshoot kwahiyo
niliziweka kwa siku moja sasa jioni nikaambiwa
niende kwenye event nikaenda nazo hivyo hivyo’-
Raymond
‘ Nimeona comments nyingi kuhusu rasta lakini
naomba watu waelewe kwamba haikuwa style
yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta
nitabaki na style yangu moja tu maana inaonekana
jinsi nilivyowakwaza mashabiki wangu’- Raymond

Post a Comment

0 Comments