Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea
kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo
na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada
ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri
bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya
kuzaliwa.
Wawili hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana
mambo kadhaa katika mitandao ya kijamii licha ya
wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya
kurudiana na baadae kukanushwa na Wema
Sepetu.
Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika
ujumbe huu:
Happy Birthday Princess Tee…🎈🎉🎁🎊
🎀💝 May Allah bless your precious lil self…
You will definitely turn out to be a phenomenal
young woman… Princess_tiffah.
Jumamosi hii bintiye Diamond, Tiffah, ametimiza
mwaka mmoja ambapo amewashukuru wote
waliomtakia heri katika siku hiyo.
“Today a year ago at 4:40 am in the wee hours of
the morning I was brought into this world. Thank-
you for all my bday wishes & God bless all of you
😘. HAPPY BIRTHDAY TO ME,” Ujumbe huu
uliandikwa instagram ya binti huyo.
Kwa upande wa Diamond, ameandika:
Princess_tiffah You are certainly the most
beautiful gift that i have received in my
lifetime….This day is very important for us and to
everyone who knows you…Only God Knows how
much you mean to me…am so Proud for the first
time in my Life to wish my own daughter Happy
Birthday… trust me, in my Heart you are the most
wonderful daughter in the whole world!….May you
always be surrounded with beauty and happiness!
…..My Angel, my little Cupcake, my sweet daughter,
My Miss World, me and Your Cute Mom loves you
so much…..Happy Birthday! @princess_tiff ah 🎉
🎂🎉