Header Ads Widget

Tazama Picha ya Kundi mahiri la muziki Tanzania, Yamoto band wakiwa coke studio ,Kenya ziko hapa.

Kundi mahiri la muziki Tanzania,YaMoto band wamepata shavu la kushiriki kwenye coke studio huko nchini Kenya.
Yamoto band wamepost picha masaa machache yaliyopita kwenye account yao ya instagram wakionyesha wakiwa ndani ya studio hizo nchini Kenya.

Post a Comment

0 Comments