Kwa sasa Tecno sio kampuni ndogo ya simu tena, tofauti na hapo awali wakati wanaanza walikuwa wanaonekana kama wanafanya masihara kwenye game hii ya simu. Kutoka kwa matoleo ya H6, C8, C9, Phantom 5, C5 na L8 kumebadilisha kabisa mwelekeo wa kampuni hii katika biashara ya smartphones.
Kwa sasa Tecno inaendelea kuwa moja ya makampuni yanayoongoza kwa kuuza simu katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara wakiiangusha kampuni ya Nokia.
Leo tunaangalia toleo la Tecno Phantom 6 Plus ambalo ndio toleo bora zaidi kwa sasa kutoka kampuni hiyo.
Simu hii imezinduliwa rasmi tarehe 25 Septemba 2016 huko Dubai. Tutaangazia sehemu muhimu za simu hizi ili kumrahisishia mnunuaji kufanya maamuzi sahihi kabla ya kuamua kununua simu hizi.
Teknolojia
- GSM: GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
- 3G: HSDPA 900 /1900/ 2100
- 4G: FDD-LTE 3(1800) / 7(2600) / 20(800)
- SIM Type: Dual Micro SIM
- OS: Android 6 Marshmallow + HiOS
Design
- Dimensions: 160.35 x 83.46 x 7.7 mm
- Weight: g
- Display: 6.0-inch, 1080 x 1920 pixels, LTPS capacitive touchscreen, with Corning Gorilla Glass 3
- Build: Full Metal
- Colours: Champagne Gold
- Sensors: Fingerprint, Eye Scanner, Accelerometer, Proximity
Hardware
- Processor Type: Deca-core 4x 2.5 GHz + 4x 2.0 GHz + 2x 1.4GHz
- Processor Name: Helio X20
- Graphics Processor: Mali T-880
- RAM: 4 GB
- Internal Storage: 64 GB
- External Storage: No
Camera
- Rear: 21 megapixel, autofocus, Sony camera with LED flash
- Video recording: 1080P HD
- Front-facing: 8 megapixel with LEX flash
Multimedia
- Music Support: mp3, aac, aac+, eaac+, amr, wb-amr, midi
- Audio:
- Loudspeaker: Yes
- Video Support: mpeg4, h.263, h.264
- FM Radio: Yes
Connectivity
- Bluetooth: v4.0
- WiFi: Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot
- GPS: Yes
- USB: microUSB v2.0; USB Type-C
Power
- Charging: Fast Charge
- Battery: 4,050 mAh
- Power Management: Ultra lower power mode
- Launch Date: September 25, 2016
- Availability: September 2016
- Launch Price: 1Bado bei haijajulikana rasmi
0 Comments
on