October 28, 2016 ambapo mkali kutoka Bongo Flevani, Alikiba amefunguka na kuweka wazi ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz iitwayo #Kajiandae.
Staa huyo akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa kupitia Clouds TV aliyaongea haya>>>>Kiukweli
kwanza ni wimbo mzuri pili maandalizi ya video hiyo tayari tumeshafanya
na jina la wimbo unaitwa Kajiandae kwahiyo mashabiki wangu na mashabiki
wa Ommy Dimpoz wakati wowote watapata ladha nzuri tu kwani najua ni
kitu gani mashabiki wa muziki wangu wanachokitaka kutoka kwangu’
0 Comments
on