Header Ads Widget

Picha,akiwa na miaka 47 Jennifer Lopez anatuonyesha bado anamvuto kuliko…..





Pop staa Jennifer Lopez Aka J Lo anadhibitisha kuwa ukijitunza unaweza kuwa na muonekano mzuri ata baada ya kuwa na umri mkubwa. Syaa huyu wa muziki na filamu ana watoto wawili na ana miaka 47 ila bado anakimbizana na wanamitindo kama Kim Kardashian
Hii post yake imetawali mitandaoni November 4 2016 ikiwa na HashTag #loveyourselffirst.
Kim Kardashian aliwahi kupiga picha kama hii mwaka 2013.
j-lo kim-k

Post a Comment

0 Comments