Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka
kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa
katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku
mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku
mbili jana Jumanne Novemba 1, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na

0 Comments
on