Tayari Nick Cannon ana watoto wawili na Ex
wake Mariah Carey na sasa pamekuwa na ripoti kuwa mpenzi wake mpya
Brittany Bell anaujauzito.
Nick Cannon na Brittany Bell wameripotiwa
kutegemea mtoto wa gazeti la Us Weekly, wawili hawa wamekuwa kwneye
mahusiano toka mwaka 2015 ila walitengana mwanzoni mwa mwaka huu na sas
wamerudiana.
0 Comments
on