Header Ads Widget

AUDIO | Darassa Ft. Lameck Ditto - Weka Ngoma | Download #TBT

 Tunaendelea na Kipengele Chetu Cha"UNAIKUMBUKA HII?" Kila siku Ya ALHAMIS #TBT(Throwback Thursday) 
Tutakuwa Tunaweka Wimbo Wa Bongo Flaver, Rnb, Hip Hop Wa Muda Kidogo 
Wiki iliopita Tuliweka Ngoma ya RayVan[Raymond] - FURAHA
LEO Tuko na Hitmaker Wa "MUZIKI"  DarassaAlishawahi Fanya Kazi Na Lameck Ditto
 Kazi Inaitwa " Weka Ngoma" Imetayarishwa Na Tuddy Tomas 
 Isikilize Hapo Chini.
DOWNLOAD

Post a Comment

0 Comments