Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe katika wimbo huo.
Itakumbukwa kuwa Mwalimu hakuwa mtu wa kukaa kimya hasa maovu yanapozidi, alikuwa akikemea.
Jiunge na djadam64.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter's na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka djadam64.com
0 Comments
on