Video ya wimbo mpya wa msanii wa label ya Tetemesha Entertainment, Coyo. Wimbo unaitwa Ziwafikie uliotayarishwa na Daydream na Kidboy. Video imeongozwa na Nisher.