Unapo engeneza Partition kwenye harddisk yako hufanya computer kuifanya computer ione kama vile una harddisk zaidi ya moja.. Partion hukuwezesha kufanya kazi nyngi sana pia ukiwa na partion kwenye harddisk yako una uwezo wa kuweka Operating system zaidi ya moja na kuhufadhi baadhi ya vitu vingine
ili kutengeneza partion kwenye hard disk yako hakikisha ina nafasi ya kutosha ambayo ni free.
FATA HATUA HIZI ILI KUTENGENEZA PARTITION KWENYE COMPUTER YAKO YENYE WINDOW7,8 NA WINDOWS 10 NA WINDOW VISTA
HATUA YA 1
Fungua Disk Management utility
ili kufungua disk management utility nenda kwenye my computer/this pc kisha bonyeza batani ya kulia ya mouse (right click) kisha bonyeza manage itafunguka page ambayo hapo utalazimika kubonyeza disk management ambayo ipo chini ya storage
au waweza kufungua Fungua Disk Management utility kwa kufanya hivi. kwenye computer yako bonyeza batani yenye alama ya WINDOW na herufi R kwa pamoja. kitakuja kiboksi kimeandikwa RUN. hapo utatakiwa kuandika diskmgmt.msc kisha bonyeza ENTER
Mfano ⊞ Win+R. kisha diskmgmt.msc kisha bonyeza ↵ Enter
baada ya hapo itakuja menu ambayo inaonesha harddisk zako zote na size zake, na kama ulichomeka external au flash navyo vitaonekana.
kama una hadrdisk moja ambayo haina partion mfano kwa mwenye laptop itaonekana moja na kama tayari ina partion zitaonekana hizo partion kwa idadi zilizopo kama zipo partion mbili basi zitaonekana mbili. sasa kutoka hapo chagua partion/harddisk ambayo unataka kuigawa kisha right click na chagua shrink volume
kitakuja kiboksi kitakacho kutaka ujaze ni kiasi gani cha GB unachotaka kukitengeneza kutoka kwenye nafasi ya harddisk. utajaza hizo GB kwa mtindo wa MB
Mfano kama unataka 20GB utaandika 20000
Ukimaliza hapo ipe herufi Partion yako kwa kuipa herufi D kisha nenda next
FORMAT PARTION UNAYO TENGENEZA
ili kuformat chagua
format this volume with the following setting
chagua file system ya FAT or FAT32
baada ya hapo bonyeza next kisha hakikisha kama kila kitu ulicho set kiko sahihi alafu bonyeza neno FINISH
IKIMALIZA ITAONEKANA KWENYE disk management kama new partion lakini ikiwa haina kitu
HAPO UTAKUWA USHAMALIZA KUTENGENEZA PARTION KWENYE WINDOW YAKO
0 Comments
on