MTUNZI:EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA....
Mapigo ya moyo yakazidi kunienda mbio na
kujikuta nikianza kuomba sala ya kuniepusha na
kukamatwa kwetu kwani ni muda mchache ulio
pita baba alitoka kunionya kwa ujinga kama
huo.Nikamtazama Salome na taratibu nikamuona
mwenzangu akilegea kabla hajaanguka nikamuwahi
kumkumbatia ili asianguke chini na kunifanya nizidi
kuchanganyikiwa.......
ENDELEA....
.....Nikaendelea kumshikilia Salome ambaye
anahema Kwa pumzi za taratibu kutokana na giza
sikujua kama ameyafumba macho yake.Mlango
ukatingishwa kidogo kama mtu anayetaka
kufungua na kuingia.
“Eddy…..Eddy”
Nikasikia ni sauti ya chini ya John ikiniita nje ya
mlango, Nikawa na wasiwasi huenda atakuwa yupo
na walinzi au mwalimu ili iwe rahisi kwa
kunikamata endapo nitaitiaka.Akarudia kuniita tena
ila nikakausha kimya nikamsikia akiendelea
kufungua fungua vyoo vingine na baada ya muda
sikumsikia tena.
“Salome Salo”
Nilimuita Salome huku nikimtingisha taratibu ila
mwenzangu hakunijibu kitu chochote.Nikakumbuka
baba alinipa simu nikaitoa mfukoni na kuiwasha
nikammulika Salome nikakuta mwenzangu macho
yake yamebadilika na kiini cheusi cha katikati ya
jicho sikukiona na kulifanya jicho lake lote kuwa
jeupe.Mwili mzima ukaanza kunitetemeka huku
taratibu nikahisi umotomoto kwenye mapaja yangu
na kuifanya suruali yangu kulowana nikajua moja
kwa moja mtu mzima nimeshalimwaga mbele ya
Salome ambaye sielewi amepatwa na nini.
Kwa jinsi miguu inavyotetemeka nikashindwa
kuizuia hali ya kulimwaga kojo ambalo
linachuruzika kwenye mapaja kwa kasi huku likiwa
la motomoto na mbaya zaidi nimetoka kuchimba
mgodi muda si mrefu na sikufikia mwisho wa
uchimbaji.Kwa uzito wa Salome na kukosa kwangu
muhimili wa kusimama nikajikuta nikianza kushuka
chini taratibu huku mgongo ukiwa unaburuzika
ukutani hadi nikakaa chini.
Nikaendelea kumnong’oneza Salome ila
mwenzangu hakuitika sikuwa na jinsi zaidi ya
kuendelea kumkumbatia huku kichwa chake akiwa
amekilaza juu ya kifua changu,cha kumshukuru
Mungu ni vyoo tulivyopo hakuna hata kimoja
ambacho kimetumika kwani ndio kwanza vipya
vinamsubiria diwani aje kuvizindua siku mili
mbeleni.
Nikaanza kumlaani John kwa masihara yake
nikahisi kwamba alikuja kunitania na utani wake
umweniachia majanga ambayo sijui niyamalize vipi
kwani hata kusimama ninashindwa kwa jinsi
suruali yangu ilivyolowana na mbaya zaidi mwili
mzima unanitetemeka
Nikatazama saa ya kwenye simu nikakuta ni saa
tano kasoro usiku,nikaendelea kusubiri huku mara
kwa mara nikiwa ninamtingisha Salome ili
azinduke.Baada ya masaa mawili kupita huku
nikiwa nipo macho gafla Salome akapiga chafya
nikaiwasha simu na kummulika Salome usoni
nikakuta anaanza kufumbua fumbua macho na
matumaini ya kutokulala chooni yakaanza kunijia
kwani nilishakata tama nikajua ni lazima nitalala
chooni.
“Salome”
“Mmmm”
“Unajisikiaje”
“Mmmmm”
“Unajisikiaje….?”
“Kidogo afadhali”
“Unaweza kusimama?”
“Mwili hauna nguvu”
Ikanilazimu kusubiri ili Salome nguvu ziweze
kumrudia.Masaa yakazidi kukatika huku kila
nikimuuliza Salome juu ya kurejewa na nguvu
anadai bado.Nikaanza kupata wasiwasi kwani hadi
sasa hivi imesha timu saa tisa usiku.Kijimwanga
kikaanza kuchomoza na kuingia katika uwazi wa
chini katika choo.Nikashangaa Salome akikurupuka
na kusimama kama mtu aliyekuwa akiota ndoto
mbaya
“Eddy tupo wapi?’
“Chooni”
“Tupo chooni Eddy…..bwenini kwetu
hawajachukuliwa rollcal?”Swali la Salome sikujua
nilijibu vipi kwani hata mimi mwenyewe sikujua
kama bwenini kwetu watu wamehesabiwa namba
“Salome cha msingi wewe uende mbwenini kwenu
sasa hivi mambo mengine tutazungumza baadaye
tukionana”
“Kwani ni saa ngapi Eddy?”
“Saa kumi na mbili kasoro”
Nikafungua mlango wa chooni nikachungulia
nje,nikaona kupo salama hakuna mtu nikampiga
busu Salome kisha nikatoka na kuelekee kwangu
bwenini kwa ajili ya kujiandaa kwa ajili ya
msomo.Nikamkuta John akiwa bado amelala
sikutaka kumsumbua nikapanda kwenye kitanda
changu ambacho kipo juu nikajilaza ili
kuupuumzisha mwili ila nikakumbuka kuwa
nimejikojolea.Nikaivua suruali pamoja na boxer
yangu japo kuna baridi kali ila ikanilazimu kwenda
bafuni kuoga
Nikarudi na kukuta watu wengine wakianza kuva
nguo za darasani huku wengine wakiwa
wanaelekea kupiga mswaki
“John vipi hebu amka kwanza?”
“Eddy mwanangu nina umwa?”
“Una umwa na nini?”
“Eddy wee acha tu mwanangu jana yaliyo nikuta
nimakubwa”
Kwa jinsi ninavyo mjua John kweli nikagundua
anauwmwa kwani hata kuzungumza kwake ni kwa
shida
“Sasa nikufanyie mpango kwa Patroni(Mlezi wa
kiume) akupeleke hospitali”
“Ndio mwanangu hapa sijielewi kabisa”
Nikavaa nguo za darasani na kwenda katika
chumba cha Patron na kumueleza juu ya kuumwa
kwa John.Ila Patron akaniomba nimsindikize John
hospitali kwani yeye anakwenda kushuhulikia
kumtafuta msichana mmoja aliye potea jana
usiku.Moyo ukaanza kunienda mbio huku nikiwa
na wasi wasi
“Patroni huyo msichana aliye potea ni wakidato
cha ngapi?”
“Kidato cha tano”
Sikutaka kujitia mawazo kwani moja kwa moja
msichana aliyelala nje ya bweni alikuwa ni Salome
na kwa jinsi wasichana wanavyolindwa huwa
huesabiwa kila mara wakati wa usiku nikamuaga
Patroni na kutoka kwenda bwenini kumchukua
John.
Nikaikuta hali yake ikiwa imezidi kuwa mbaya
kwani mwili mzima ulikuwa ukimtoka
jasho.Nikasaidiana na rafiki zangu wengine
kumuwahisha John hospitali huku moyo ukianza
kupata mashaka juu ya hali ya John.Tukafika
hospitali ya shule akapokelewa na manesi na
kumtundikia dripu la maji.
Wezangu wengine wakaenda darasani mimi
nikabaki hospitali huku nikiwa na kazi ya kumfuta
John jasho linalo mwagika huku wasiwasi ukizidi
kunijaa juu ya afya ya John
“Eddy”
“Niambei ndugu yangu”
“Eddy ninakufa kaka”
“John hufi kamanda wangu”
John akacheka taratibu huku akinishika mkono
huka anatetemeka.Nikazidi kupata wasi wasi huku
machozi kwa mbali yakianza kunilenga lenga.Dokta
akaanza kumfanyia John vipimo vyote ila
hakumkuta na ugojwa wowote
“Eddy jana mwenzako ni….nili…..kuwa nipo na
Clau…..”
“Ndio kaka”
“Tulikuwa darasa la kule chini basi kuna ki…..tu
ki….linipiga kifuani il…a siku..jua ni ni..ni”
“Ikawaje kaka?”
“Nikaja kukufwata kule ulipo ila sikukupata wakati
naru…I pale darajani nikao…….oo….oo..”
Gafla John akaanza kutingishika kama mtu
mwenye kifafa huku akiwa amening’ang’ania
mkono wangu.Manesi wakaanza kumshika ili
kuutuliza mwili wake huku nikisaidiana
naye.Machozi yakaanza kunimwagika kwani hali ya
John ikazidi kuwa mbaya,Puvu jingi likaanza
kumtoka huku puani akiwa anatokwa na damu
“ED…….”
John akajitahidi kuniita ila kinywa chake
hakikuweza kufunguka na suati yake ikakata gafla
na kunifanya nizidi kuchanganyikiwa.Sikuweza
kuyazuia machozi yangu baada ya kumuona John
akiwa ametulia kimya kitandani huku vidole vyake
vikiwa vinajifungua taratibu kwenye mkono wangu
alioushika.
“John…..John…..John kaka please wake up you
can not die brother you my soujor
please”(John…..John……John kaka amka huwezi
kufa kaka wewe ni mwanajeshi wangu tafadhali)
Nilizungumza huku machozi yakinitoaka nikiwa
najitahidi kumtingisha huku kichwa chake kikiwa
nimekiweka kwenye mapaja yangu.Dokta
akampima John mapigo ya moyo na nikamuona
akitingisha kichwa akimaanisha John amefariki
dunia.
“John amka rafiki yangu nitasoma na nani mimi”
Manesi wanishika na kunitoa nje huku nikiona
wakimfunika John kwa shuka mwili wake
mzima.Nikazidi kuchanganyikiwa na kujua hiyo
ndio safarai yangu ya mwisho ya kumuona rafiki
yangu John ambaye kwangu amekuwa zaidi ya
ndugu.Manesi wakanikalisha kwenye benchi huku
wakiendelea kunibembeleza
Nikaona kundi kubwa la wanafunzi wa kike wa
kidato cha tano likija hospitali huku wakiwa
wamembeba mwenzao ambaye anaonekana
kupoteza fahamu.Nikasimama na kumuona ni
Salome aliye bebwa huku akionekana kuwa na hali
mbaya kupita maelezo.......
******SORY MADAM******(8
....Nikazidi kuchanganyikiwa sikujua Salome
kimempata nini,Nikataka kwenda kumuuliza mmoja
wa rafiki zake ila Nesi akanizuia kwa kunishika
mkono.Nesi mmoja akaondoka kwenda kusaidiana
na wanafunzi wa kike wa kidato cha tano na
kumuingiza katika chumba cha wagojwa
mahututi.Kila nilipojaribu kuyazuia machozi yangu
nikajikuta nikishindwa na nikaendelea kulia hadi
wanafunzi wa waliobaki nje wakanifuata kwenye
benchi huku kili mmoja akiwa anahamu ya kutaka
kujua ni kitu gani kinachoniliza
Nesi akanizuia nisizungumze chochote huku akiwa
amenifunga mdomo kwa kiganja chake
“Jamani mwenzenu anaumwa nawaomba mkakae
kule”
Nesi alizungumza na kuwafanya mwanafunzi
mmoja baada ya mwengine kuondoka katika eneo
nililopo kasoro Claudia ambaye anaonekana kuwa
na mashaka
“Nesi Maria dokta anakuhitaji haraka”
Nesi aliyeniziba mdomo akanyanyuka haraka na
kumfwata nesi mwenzake aliyekuja kumuita
nikawaona wakiingia katika chumba alichoingizwa
Salome.Claudia akaja kwa haraka hadi sehemu
niliyokaa mimi huku naye machozi yakimwagika na
akazidi kunichanganya akili kwani sikujua
kinachomliza ni kitu gani.
“Eddy Salome anaumwa sana tena asana”
“Ooooh Mungu wangu naye anaumwa na nini?”
“Yaani hata sisi hatujui amekutwa ameanguka nje
ya vyoo vipya kule chini huku damu zikimtoka
puani”
“Ahaaa Mungu wangu ni nini hichi umefanya John
naye amekufa,Salome naye aahaaa……Nakuomba
Mungu usiwachkue wote”
“Eddy what are you say…..!?”(Eddy
unasemaje……!?)
“John is dead”(John amekufa)
Nilizungumza kwa uchungu huku machozi
yakinimwagika yakiandamana na makamasi
yakinishuruzika katika pua zangu.Claudia akaachia
ukulele mkali a kulia huku akipiga hatua za
kwenda walipo wezake huku akiwa anakimbia.Kwa
bahati mbaya nikamshuhudia Claudia akikanyaga
kamba ya kiatu chake cha shule na kumfanya
miguu yake kugongana na kwa kasi kubwa
akaanguka chini huku kichwa chake kikipiga
kwenye ukingo wa msingi wa baraza ya kuelekea
katika chumba alicho ingizwa Salome na
kusababisha damu nyingi kuanza kusambakaa
chini kwenye mchanga.
Nikanyanyuka kwa haraka na kwenda kumuangalia
Claudia na kukuta akiwa yupo katika kauli ya
mwisho huku akiwa ananiomba msaada
nimnyanyue.Kila mwanfunzi aliyekuja katika eneo
hilo nikamuoana akiondoka huku akilia na wengine
wakiwa wanaziba macho yao wasione kilichotokea
kwani ubongo uliochanganyikana na damu
ulitapakaa chini huku mimi nikawa kama
nimepigwa butwaa.
Madaktari wawili wakaja tulipo simama huku
wakishangaa ni kitu gani kimetokea,Mmoja
akaniuliza swali ni kipi kilicho mpata Claudia
sikuwa na chakumjibu kwani mdomo wangu
haukuweza kufunguka.Nikaanza kupata wasi wasi
na kwa mwendo wa haraka nikaenda katika
chumba cha wagojwa mahututi nikaufungua
mlango kwa nguvu na kumstua nesi anayemalizia
kumfunika Salome shuka kichwani kwa shuka la
kijani….Nesi akajaribu kunizuia huku akiniomba
nitoke nje nikajikuta ninamsukuma na kwenda
kwenye kitanda alicho lazwa Salome na kumkuta
mwili wake umekuwa wa baridi huku macho yake
yakiwa yamejifumba.Nikamtingisha huku nikimuita
“Salome mpenzi na wewe unakufa ni nani atabaki
na mimi eheee amka mpenzi tafadhali”
Salome hakunijibu kitu chochote zaidi ya kukaa
kimya kama nilivyomkuta nikarudia kumtingisha ila
sikupata jibu.Nikaanza kulia huku nikilitaja jina la
Salome
“Salome Salome nakupenda mpenzi wangu yaani
penzi letu limedumu kwa masaa please baby
amka basi hata nione kicheko chako”
Maneno yangu hayakuwa na nguvu ya kumrudisha
Salome duniani,nikashtukia kitu chenye ncha kali
kikinichoma mgongoni,nikageuka taratibu na
kukuta nesi akichomoa bomba lenye sindano na
taratibu macho yakajawa na usingizi na kichwa
changu nikakiangushia kwenye kifua cha Salome
*****
“Wewe fala Eddy”
Nikastuka huku nikinyanyuka kwa hasira nikitaka
nimpige mtu aliye nitukana na kumkuta ni
John,Moyo wangu ukanipasuka na kunifanya nianze
kurudi nyuma huku nikiwa nina muogopa
“Eddy jana umepiga bao ngapi best hadi
umeshindwa kurudi bwenini?”
John aliendelea kunisemesha na kunifanya nizidi
kuchanyanyikiwa na kuanza kujiuliza kama nipo
peponi mbona John mwenzangu amevaa nguo za
shule na sote tupo bwenini isitoshe kama kawaida
yake anatukana kiasi kwamba amenikasirisha
“Eddy mwangu saa hizi saa moja kamili wewe
bado umelala tena unaota unatupigia kelele za
kumtaja Salome wako hapa…….Kumbe Eddy na
ujanja wako wote unaweza ukamuota demu?”
Jonh akaanza kucheka huku akinitazama
nikayazungusha macho yangu chumba kizima
nikamuona John peke yake,Nikajitazama nguo
nizizo zivaa nikastuka kuona ni nguo za jana
nilizozivaa prepo na sehemu niliyo kaa ni juu ya
kitanda changu
“John nipo wapi?”
“Eheee wewe Eddy leo hii unaniuliza upo wapi
kwani rafiki yangu wewe unavyohisi au unavyoona
upo wapi wewe?”
“Nina maana yangu kukuuliza nipo wapi?”
“Best upo kwenye Air Force One ya Obama”
John alizungumza huku akizidi kucheka hadi
akakaa kwenye kiti kilichopo ndani ya chumba
chetu
“Aisee Mazee bado mnajichekeshachekesha hapa
tokeni nataka kufunga milango”
Patron alizungumza huku akiwa ameshika funguo
nyingi kwenye mkono wake wa kushoto
“Patroni tunaomba dakika kumi jamaa avae nguo”
“Nakwenda mabweni ya O level nikirudi
nisiwakute”
“Sawa Patron…….Oya Eddy hebu amsha ke**e zako
hapo juu tumeshachelewa assemble”
Nikashuka kitandani na kusimama chini na
kusogelea John na kumgusa mkono nikaona ni
John kweli kwani hana mabadiliko yoyote ikanibidi
kutoka nje kuangalia mandhari nikayakuta ni
bwenini na mbaya zaidi nikamuona mwalimu wa
zamu akiwafukuza wanafunzi wa vidato vyengine ili
wawahi mstarini huku akiwa anawachapa
“Oya John mfumuko huyo anakuja”
“Yuko wapi?”
“Bweni la form four kule”
“Oya mwanangu hembu vua basi hizo nguo zako
fasta tuondoke na jamaa lilivyo na mijisifa lile
litatucharaza bakora humu humu”
Ikanibidi nikubaliane na hali halisi kuwa John
hakufa nikaanza kuivua surualia yangu haraka
haraka huku John akifugua begi langu la nguo na
kunitolea nguo za shule
“Alafu Eddy mwanagu umelimwaga eheee?”
“Kwanini?”
“Wewe huoni suruali yako ilivyo chora mchoro
hapo mbele sijui ni ramani ya kuendea wapi”
“Mwanangu wee acha tu yaliyonikuta jana
mmmmmm……”
“Alafu jana ninakuja kukustua kwenye vyoo kule
mwangu upo na huyo demu wako ukanikaushia”
“Unajua wewe ndio chanzo cha kunifanya nirudi
hapa saa kumi na mbili”
“Weee umerudi saa kumi na mbili?”
“Ndio jana dogo alizimia”
Mwalimu Mfumuko akaingia chumbani kwetu huku
mkononi akiwa na fimbo ya muanzi
“Munafanya nini?”
“Ticha jamaa anamalizia kuvaa mara moja”
“Munajua nyinyi Adivance muna jeuri
sana.Munataka kuifanya hii shule kama wamejega
baba zenu si ndio…….Nyoosha mkono”
Mwalim mfumuko akaishika fimbo yake vizuri na
kumchapa John fimbo mbili za mkononi.Kisha na
mimi akanichapa fimbo mbili za mkononi
“Sasa ole wenu niende nirudi niwakute hapa”
Akatoka na kutuacha ndani,Nikabadilisha boxer
nikvaa nyingine safi,Nikajipilizia BODY SPRAY
mwili mzima kisha nikavaa nguo zangu na
kujiweka sawa.Nikachukua begi langu la madaftari
na safari ya kuelekea shule ikaanza kwani
mabweni yetu yapo mita chache kutoka shule
ilipo.Tukaingia kwenye darasa moja kwa ajili ya
kujificha kwani wachelewaji wote wa mstarini
wanachapwa na mwalimu aliyesimama katika eneo
ambalo huona kila mwanafunzi anayeingia katika
eneo la mastarini
“Eddy na mwenzako mnafanya nini huku wakati
wenzenu wapo Assemble?”Madam Rukia
alizungumza huku akiiingia kwenye darasa tulilo
jificha na kutufanya tukae kimya
“Alafu Eddy wewe mtoto mbona unamatatizo hivyo
yaani hufananii na ukorofi unaoufanya?”
“Madam you know……”(Madam Unajua……)
“Najua nini wakati wewe umejificha na huyu
mwenzako huku.Hebu waangalie macho yenu
yanavyowawaka kama ya bundi”
“Rukia wana tatizo gani hao?”
“Sir Masolwa hawa vijana nimewakuta wamejificha
huku wakati wezao wapo mstarini”
“Njooni…..Tena huyo mrefu si ndio alimgomea
mwalimu Kikole?”
“Ndio yeye mwalimu yaani huyu kijana sijui ana
matatizo gani”
Mwalimu Masolwa akatuamuru tulale chini kisha
kila mmoja akatuchapa fimbo nne nne za nguvu.
“Nahitaji mkafyeke nyasi zote zinazoelekea
barabara ya getini.Mtafuteni kiranja wa Stoo
akawape makwanja na ole wenu mkimbie hiyo kazi
mtanijua mimi ni nani.Poteeni mbele ya macho
yangu”
Tukaondoka na kwenda mstarini na kukuta watu
ndio wanaondoka kuelekea kwenye madarasa
yao.Salome alipo niona akanifwata na tukasimama
pembeni
“John yule kiranja yule pale muwahi basi atufanyie
mpango wa makwanja”
“Eddy mambo mpenzi wangu?”
“Safi vipi kwema?”
“Kwema tu ulifika salama bwenini?”
“Ndio vipi wewe jana hamjahesabiwa?”
“Jana hatujahesabiwa nahisi Matroni aliogopa
giza.Alafu mwezio bado nina hamu kama nini?”
“Usijali zitakwisha hapa tumepewa adhabu ya
kwenda kufyeka”
“Mmefanyaje?”
“Tumechelawa kuja hapa”
“Yaani Eddy mpenzi wangu natamani hapa
nikirukie tufanye hata hapa”
“Hebu acha utoto..Claudia yupo wapi?”
“Anamalizia kudeki kibaraza cha bwenini kwetu”
“Ahaa powa bwana ngoja sisi tukafyeke tutaonana
baadaye”
“Powa! I love you”
“Love you too Salome”
Tukaachana kila mmoja akaelekea sehemu yake
huku akili yangu ikianza kuifikiria ile ndoto mbaya
niliyoiota,Kila nikimuangalia John ninajihisi kulia lia
huku hali hiyo ikiwa sawa ninapomuangalia
Salome.Tukaelekea sehemu aliyotuagiza mwalimu
Masolwa kufyeka,Tukaanza kufyeka huku tukiwa
tunapiga story
“Eddy yule Salome ni mtamu?”
“Tena sana nanilio yake inajoto kama nini?”
“Weee mjinga kweli kwani hizo naniliu za wengine
hazina joto?”
“Joto lina tofautiana wewe kuna wengine joto lake
si kali kivile na huwa hazina utamu kivilee ila za
wenye joto hata kama hujui ku Duu lazima tuu
kiuno kitacheza”
“Nyoo yako ni hayo tu”
“Vipi na wewe Claudia?”
“Ahhaa jana kazingua yule.Pale umeme ulivyo
katika nikamfwata kule madarasani
kwao.Nikashindwa kumuomba hata mchezo
nikajikuta ninamuomba tochi ndio niliyokuja nayo
kule mlipo”
Nikaanza kumcheka John kwa sauti ya juu na
kumfanya Mr Kikole anayepita katika barabara
inayotoka getini kuelekea shule
kunitazama.Kicheko kikazidi kuongezeka nilipo
muona Mr Kikole na nikajikuta nikilikumbuka tukio
lake la kujikojolea jana ofisini.Akanitazama kwa
macho ya unyonge kisha akaendelea na safari
yake ya kuelekea shuleni
“Mbona unacheka sana wewe kuomba tochi ndio
unacheka kiasi hicho?”
“John sikucheki wewe”
“Ila?”
“Unajua jana si nilikuambia kuna story nitakuambia
iliyonikuta ofisini?”
“Ndio”
Nikaanza kumuadisia John kila kilichomkuta Mr
Kikole hata kabla sijamaliza John akakaa chini
huku akicheka huku akipiga piga ngumi chini
“Eddy utanivnja mbavu zangu”
“Kweli John jana mtu mzima alilimwaga…..Tena
alilimwaga pale bro alipojidai anapiga simu
kambini akiomba msaada wa defender ili
amchukue Best kumbe hata yule Kikole ni muoga”
"Chezea mjeda nahisi kwenye akili yake alikuwa
akifikiria jinsi ya kwenda kuruka kichura chura na
pombe anazo kunywa angekufa”“Alafu nasikia
hanywi bia anakunywa mataputapu?”
“Mwenyewe ndio ninavyosikia”
Tukaendelea na kazi ya kufyeka huku tukipiga story
mbali mbali ila nikajizuia kumuadisia John nilicho
kiota.Hadi inafika mida ya saa nne bado
hatukumaliza kufyeka eneo zima.Akapita Madam
Rukia ikanibidi nimuite
“Madam wapi hiyo?”
“Ndio Kiswahili gani hicho?”
“Ok! unakwenda wapi?”
“Unataka kujua ili iweje?”
“Nilidhani unakwenda kwa Madam Mery ninataka
kwenda kumuona”
“Ninakwenda kwanza kwangu kisha nitakwenda
kwa Mery”
“Kwani ametoka hospitali?”
“Amenipigia simu hii asubuhi kuwa
amesharuhusiwa”
“Madam tunaomba basi twende tukamuone mara
moja”
Madam Rukia akajifikiria kwa muda kisha
akakubali,tukayaficha makwanja yetu kwenye
michongoma kisha tukaongozana na Madam
Rukia.Tukapita getini pasipo kuulizwa na walinzi
kwani tumeongozana na mwalimu ambaye yupo
kwenye zamu
“Tena nimekumbuka twendeni kwangu
mukanisaidie kubeba trey za mayai ili tuzipeleke
kwa Mery”
“Sawa”
Tukaelekea nyumbani kwa Madam Rukia na
akatukaribisha ndani kwake mabapo ni pazuri.John
kitu cha kwanza alichokiwahi ni kuchukua PAD za
gemu ya PLAY STATION ambayo mara nyinyi
huchezwa kwa kupitia TV.Akawasha na kukuta ina
CD ya Game ya mpira
“Oya Eddy njoo nikufunge funge”
“Utaweza”
Nikakaa karibu yake na kuchukua PAD nyingine na
tukaanza kuchagua timu za kuchezesha huku
Madam Rukia akiwa chumbani kwake hatukujua
anafanya kitu gani.Akatoka akiwa amejifunga tenge
huku sketi yake ikiwa imechomoza kwa chini
kwenye tenge lake
“Haya nahitaji mmoja wenu aje anisaidie kuokota
mayai kwenye mabanda ya kuku”
“Eddy nenda mimi hapa nilipo ninajihisi
vibayavibaya”
Sikutaka kubishana na John taratibu nikanyanyuka
na kuongozana na Madam Rukia hadi kwenye
mabandaya ya kuku wake wa kizungu(Kuku wa
mayai).Uzuri wa nyumba anayoishi Madam Rukia
imezungushiwa ukuta mrefu ambao si rahisi kwa
vibaka kuingia na kuiba kuku.Tukaanza kuokota
mayai huku tukiyaweka kwenye kindoo kidogo
“Eddy nasikia wewe ni mtaalamu”
“Mtaalamu wa nini?”
“Ahhhaa unajua ila unataka kuwapa kuku faida”
“Sasa Madam kama ningekuwa ninajua si
ningesema”
“Hebu tutoke kwanza kwenye hawa kuku twende
tukachukue trey za mayai”
Tukatoka nje ya banda la kuku na kuingia kwenye
chumba kimoja kisicho na kitu kingine zaidi ya
trey za mayai zipatazo hamsini
“Madam hapa unaishi na nani?”
“Peke yangu sema hii nyumba bado mpya ila siku
si nyingi itahamia watu”
“Ni yako?”
“Hapana ni ya mzee mmoja hivi wa kichaga”
“Sawa”
Madam Rukia akanitazama kwa sekunde kadhaa
huku akiwa kama anahitaji kuzungumza kitu ila
akawa anashindwa.Akalifungua tenge lake na
kubaki na sidiria huku akiniomba nimkune
mgongoni.Nikaanza kumkuna mgongoni taratibu
kwa kucha zangu ndogo ndogo.Akaniambia
nishushe mkono hadi chini chini kwenye kiuno
nimkune sehemu hiyo.Nikafanya huku nikimeza
vijimate vya uchu,Taratibu nikaushusha mkono na
kuuingiza kwenye sketi yake sehemu ya nyuma
kwenye makalio yake.
Madam akageuka na kunishika shingo huku
taratibu tukaanza kunyonyana denda,Nikamfungua
sidiria yake na kuanza kuzitomasa chuchu zake
taratibu taratibu.Nikaishika zipu ya sketi yake
iliyopo nyuma na kuanza kuifungua kwa kwenda
chini kisha sketi yake akaishusha haraka haraka
huku nami nikivua shati langu la shule
“Oya mwanagu Eddy Tanesco wamekata umeme
bwana”
Tuliisikia sauti ya John kwa nje na kunifanya
nichungulie kwenye dirisha nikamuona John akiwa
anaelekea kwenye mabanda ya kuku huku
akichungulia chungulia ndani ya mabanda hayo
akionekana kututafuta sisi.....
ITAENDELEA....
0 Comments
on