Kwa
sasa version hiyo inapatikana kwa watumiaji wachache wa simu za
Android, huku wale wenye simu za iPhone wakiwekwa pembeni. Huduma bado
ipo kwenye majaribio (beta version).
Uwezo huo wa WhatsApp kupiga simu za video unaifanya app hiyo ishindane na Facetime ya Apple.
0 Comments
on