Watu wengi wamekwa wakiweka ANT VIRUS zisizo kuwa na uwezo wa kupambana na aina zote za VIRUS.
Fuata njia hii ili kujua kuwa ANT VIRUS yako inafanya kazi au laa?
Njia hii imetumika na watu mbali mbali katika kutambua ubora wa ANT VIRUS zao.
{1} Fungua notepade na kisha nenda kakopi maneno yaliyopo hapo chini na ukayaweke ktk notepad yako.
EICAR Test code X5O!P%@AP[4\PZX54(P^)7CC)7}$EICAR-STANDARD-ANTIVI*USTESTFILE!$H+H*
{2} Liite file hilo jina lolote ila mwisho liishie na
"myfile.com " kwa mfano mwanajamiimyfile.com
{4} Sasa fungua ANT VIRUS yako na uanze kuscarn. Kama anti virus yako inafanya kazi ipasavyo inakuletea ujumbe haraka kuwa kuna virus wameonekana.
Na hii itakuwa ikijitokeza kila mda endapo ANTI VIRUS yako italiona hilo file.
Sasa cha kufanya ili ulitunze hilo faili lako likiwa salama download WINRAR or ZIP na ndipo ulifiche ndani.
Makala Hui imeandaliwa name Emanuel king Hancock kwa Masada was tricks and tips mbalimbali
0 Comments
on